Finally Huawei E303 unlocked

nimefanikiwa ila naogopa kutoa hii modem je ni unlock vipi sasa maana umesema nikumbuke ku unlock.. Kimox Kimokole
 
Last edited by a moderator:

ok it work but naogopa kurudisha line ya voda..
 
sory napataje airtell firmware?.....can u give a link ya kuidownload?
 
vipi kuhusu ku-unlock hii Huawei E172 ya Airtel mbona nimejaribu ku-update firmware imegoma lakini nimeweza ku-update dashboard.
hiyo e172 mkuu ya airtel kma una moyo tulia nayo ila ka itakshnda jarbu kuuza mana jinsi walivyo icustomize hta firmware haitaki nlishaangaika nayo sna na firmware zke zpo nyng net ila haikubali bora ununue za voda hawakazi sna mana nlinunua nyngne ka hyo ila ya voda firmware fasta ika update
 
assante sana kaka..ila km kuchakachua modem kutawashinda nabado unataka kusurf kwakutumia line yeyote ile bila kuchakachua modem yako install nokia pc suite kisha enjoy kusurf kwalain yeyote kwenye modem yeyote amabayo haijachakachuliwa.
 

Mkuu kimox thanx sana kwa hayo maujanja sema nina swali kidgo,,do u think we can use the same trick kwa Huawei E153?
 
thanks your the best nimefanikiwa ku-flash lakini
sijaona option ya kuweka unlock code
Ni muhimu/lazima kuiweka coz kwa sasa natumia na so far haija leta shida yoyote?

NB: usisahau ku-unlock baada tu ya ku-update firmware kwa sababu itajilock tena.
[/B]
 
@
-->solution yako inafanya kazi uzuri lakini mwisho umeweka password kuwa unloc ntaanlock vipi while sina NCK,kama utaniruhusu niweke software ya kuanlock brother au PM iendelee,best cheers:crazy:
 

Attachments

Asante mkuu kwa mautundu
 
Nilifanikiwa ku unlock modem ya huawei e303 ila sijui namna ya ku update dashbord na pia jana baada ya ku unlock niliweka line ya tigo ikakubali kusoma tatizo ni kwenye internet inaandika Incorrect APN. Naomba msaada nifanyeje hapa kusolve hii kitu.
 
Nilifanikiwa ku unlock modem ya huawei e303 ila sijui namna ya ku update dashbord na pia jana baada ya ku unlock niliweka line ya tigo ikakubali kusoma tatizo ni kwenye internet inaandika Incorrect APN. Naomba msaada nifanyeje hapa kusolve hii kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…