Finally Huawei E303 unlocked

kaka mkubwa nimefuata process zote ku unlock this modem, bt kunasehem nakwama... inafika sehem inaandika port searching failed(kwny ku update airtel film), nimejalibu ku2mia pc nyingine bt the same prob arise.. what should i do?
 



Shukrani kwa taarifa yako. Kuna mengi ya mbinu inapatikana kwa kufungua e303 huawei .Lakini i wameamua kufungua code mbinu. i got code kufungua kutoka kwenye tovuti hii Wickedunlock.com kisha unlocked e303 yangu huawei kwa urahisi.
 
kaka mkubwa nimefuata process zote ku unlock this modem, bt kunasehem nakwama... inafika sehem inaandika port searching failed(kwny ku update airtel film), nimejalibu ku2mia pc nyingine bt the same prob arise.. what should i do?

modem yako itakuwa yenye firmwae tofauti, nadhani itakuwa E303H ambayo njia yake ni tofauti kidogo
 

Mimi nimelizwa na ebay actually sio kosa lao maana nilinunua simu oline ya Iphone 4 nimeletewa mpaka hapa nilipo kwa USPS shida ni kuwa sikuelewa maana ya VERISON kube hawa jamaa ni kama vodacom ila tofauti yao ni kuwa wao simu zao hazina sim card kabisa nimetafuta slot au tray hakuna nika gooogle nikafhamishwa kuwa verison hawana sim kadi... sasa nifanyeje mnyamwezi mie.. nsha lizwa hivo any help?
 
Mkuu mi nna huawei modem ya Mobile Brodband Model EC122 CDMA1X EVDO
Vipi? iNawezekana kufunguliwa?


 
Kimox Kimokole ninavyofanya hayo yote naweka line kwenye moderm ya mtandao gani au siweki line kaisa,
thanks
 
Last edited by a moderator:
kiboko dakika tano tu job done asante sana brother saivi nakula kitu cha lain zote.
 
Wakuu hii modem ya voda model k3772-z ndio imeshindikana kuunlock
Maana kila nikiulizia sipati majibu
 
mimi ni E3131 IMEI862733010035593 mkuu nielekeze niweze tumia chip yeyote ile
 
tafuta fundi simu. mwambie akuflashie ili aichakachue. ila asikutoze zaidi ya buku kumi.

By the way. Hivi hizi software wanazotumia mafundi ku-flashia simu zinaitwaje. na zinapatikanajee? I hope wanapata mitandaoni. who knows please.
 
Nani anaweza ku unlock modem ya sasatel jaman, mm ninayo hapa imenidodea, situmiagi ipo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…