Nini sasa hii mkuu
ukweli kuhusu nini???????????????????????????????
Kwa ambao video haionekani hapo juu Direct link hii hapa: Rwanda's Untold Story Documentary on Vimeo
hii ni historia ya waafrika wenyewe.
Umesahau na ile mliyoandikiwa na France...you are just a comedy,to reason/debate na wewe ni sawa na 1940s watu walipojaribu same thing with NAZIs,the only language mnayo deserve ni trial and Prisons
Toka lini mzungu akaitakia mema afrrika?
Kagame kasema kuwa
You cant betray Rwanda and be alive, its just the matter of time
Watalaam naomba mtuwekee video ili niweze kuipakua au namna gani naweza kuidownload?
Mkuu sasa hivi utaitwa mkabila kwa kugeuza kauli za waafrika wa Rwanda...Hapo alificha neno moja tusi...
Kagame kasema kuwa
You cant betray Tutsi and be alive, its just the matter of time
Sasa ndiyo shida tuliyo nayo. Tupo tayari kuuawa na mwafrika mwenzetu bila kulalamika, na mzungu akisema tu, basi imekuwa shida.
Inabidi tusome, tufanye utafiti na kupata majibu kuhusu habari hizi badala ya kutoa majibu ya jumla jumla. Kwa kiasi kikubwa naweza kuamini habari hiyo kutokana na wafuasi wa Kagame wa zamani kuuawa huko Afrika Kusini na wengine kutishiwa maisha yao.
Ni juzi juzi tu kulikuwa na habari za Watanzania wanne kufungwa huko South Africa kwa kula njama za kutaka kumuua mmoja wa majenerali wa zamani wa Kagame. Je huo nao ulikuwa ni uzushi wa wazungu?
Mkuu sasa hivi utaitwa mkabila kwa kugeuza kauli za waafrika wa Rwanda...