sasa na wewe ndo umeandika nn?sababu ya kuniondoa payrole wanasema utoro ila utoro gani mtu nilienda masomoni? nisisome kisa watoto wapate huduma yangu?
huna akili timamu maana hata nilichoandka sicho ulichochangia..
Bora serikali imeondoa udahili wa waalimu wenye division4 maana Mwl kama wewe inaonekana haujitambui kabisa, unawezaje kuondoka ktk kituo chako cha kazi bila ruhusa kisha ujione sio mtoro eti kwa vile ulienda kusoma? Inaonesha hata cheti uliiba tu.
wewe kaa kimya hujui yanayotendeka ndani ya halmashauri dhidi ya waalimu.unakuta unakaa miaka mitatu na muda wako wa kwenda masomoni umefika lakini ukienda kudai kuwa unataka kwenda kusoma (maana ni haki yako kwenda kusoma na haki huwa haiombwi bali hudaiwa) hvy unapodai kwenda kusoma wanakuzuia bila sababu za msingi.
KIFUBA KYA ITAHWA Faili haliwezi kupotea. Kila hatua linapotoka linaandikwa kwenye kitabu maalumu na linapewa namba na linapofika linaandikwa vile vile.
Kwahiyo aliyelitoa sehemu A kwenda B ni lazima awajibike.