Filamu za uchochezi za kidini ZBC2

Filamu za uchochezi za kidini ZBC2

Hivi mkuu katika ile movie hukuona mateso waliopata waislam na kunyanyasika mpk ndio ikaja ujumbe kuwa wanaweza kujihami??
Ila ww umeona sehem waislam wanajihami tu ukasema kuwa ni movie ya uchochezi??
ISLAMAPHOBIA GONNA KILL YOU BUDDY.
HAKUNA UCHOCHEZI WOWOTE PALE
Uzi huu ulindwe kwa maslahi mapana ya taifa

Kuna filamu inaitwa ABU HAMZA inaendelea kule ZBC2

Kuna filamu zimejaa maudhui ya itikadi Kali sana zinarushwa bila shida na mamlaka zipo kimya kwa muda sasa

Filamu zinaonyesha wasiokuwa waislam wanauwa na kuchinjwa hadharani huku wanaouwa hupewa vyeo ,mali na wanawake

Filamu zinazonesha maudhui ya kujitoa mhanga hadi kufa kisha wanappngezwa kwa kuwauwa wasio kuwa waislamu

Filamu zinazoonesha haja ya kueneza dini kwa mauaji na mateso kwa walioikataa mpaka wakubali

Filamu inayonesha kama mwanamke sio kitu mbele ya jamii yake

Japo sheria haiitambui Zanzibar kama nchi ya kidini vilevile Tanzania bado hi filamu zisingefaa kwa dunia ya sasa na hofu ya machafuko.

Mnataka mpaka nchi ichafuke au vitendo vya ugaidi vizidi ndio mkemee

chanzo ZBC2
 
YOU ARE A LIAR.
FIRST DO YOU KNOW WHAT IS THE MEANING OF TERRORISM??

Definitions of terrorism. ... In general, terrorism is classified as: the use of violence or of the threat of violence in the pursuit of political, religious, ideological or social objectives. acts committed by non-state actors (or by undercover personnel serving on the behalf of their respective governments)

By that definition USA ARE TERRORISTS,ISRAEL ARE TERRORISTS ARE THEY MUSLIMS???
SHAME ON YOU
Not every Muslim is a terrorist but every terrorist is a muslim. Why?
 
I don't think that's an answer,there is something more.
Think about the terrorist groups most of them are Islamic

Is not that the terrorism groups are islamic ones nooop.
USA created terrorism groups in religious means to benefit herself on geopolitical issues.
Too novice
And not all the group members are muslims no.
Some brainwashed muslims some are the Americans.
SO WHO IS THE TRUE TERRORIST OVER THERE???
 
Ndugu ktk movie hii inayojadiliwa hapa umeiangalia na umegundua jambo gn lililoumiza imani yako?
Achana nae kalewa gongo na kitimoto huyo.
Ile movie ya wamarekani ilikua inamtukanisha mtume walimuigiza kinyume kuwa mbakaji,mlawiti na malaya na muuaji.
Hakuna angefurahia hilo ilhali walimuigizia kinyume mtume wetu na kumpakazia uongo.
Ktk hiyo movie mwambie jamaa aoneshe alipotukanwa Yesu hata mara moja.
Hao Wagalatia hawatumiagi akili.
 
Acha kulalamika,mnapenda kulalamika lamika,ili muonewe huruma.Tumia akili picha zote za sinema,video ni maigizo tu,sio wahusika wa kweli,unaweza ukaona picha ya kiislam,lakini waigizaji ni wakristo au hawana dini.Tuliza akili,picha ni maigizo,sio mambo ya uhalisia.Hizo picha zina miaka mingi sana,na zimetungwa na wazungu wasio waislamu,kupitia vitabu vya historia,ni kama njia ya ajira ya hao wachezaji wa hizo picha.
Uzi huu ulindwe kwa maslahi mapana ya taifa

Kuna filamu inaitwa ABU HAMZA inaendelea kule ZBC2

Kuna filamu zimejaa maudhui ya itikadi Kali sana zinarushwa bila shida na mamlaka zipo kimya kwa muda sasa

Filamu zinaonyesha wasiokuwa waislam wanauwa na kuchinjwa hadharani huku wanaouwa hupewa vyeo ,mali na wanawake

Filamu zinazonesha maudhui ya kujitoa mhanga hadi kufa kisha wanappngezwa kwa kuwauwa wasio kuwa waislamu

Filamu zinazoonesha haja ya kueneza dini kwa mauaji na mateso kwa walioikataa mpaka wakubali

Filamu inayonesha kama mwanamke sio kitu mbele ya jamii yake

Japo sheria haiitambui Zanzibar kama nchi ya kidini vilevile Tanzania bado hi filamu zisingefaa kwa dunia ya sasa na hofu ya machafuko.

Mnataka mpaka nchi ichafuke au vitendo vya ugaidi vizidi ndio mkemee

chanzo ZBC2
 
ZBC Channels ni ujinga tupuuuu. Kutwa kucha ni vipindi vya Dini tu. Kweli Huko Zbar hawana haja ya mafundisho mengine zaidi ya Kulishwa Kuran 24/7.
Anyway kama Channel inakukera unaipiga block kwenye King'amuz chako isionekane baaasi maisha yanaenda.
Unataka wote tuangalie Emanuel TV,acha udini,mbona mengi ya kidini yanafanyika na watu wanavumilia tu,Fanya ibada kwa Imani yako ukauone ufalme wa mbinguni,hata kama TV zote zikionesha filamu ya Yesu bado hautaingia mbinguni bila kusali au kuswali
 
Halafu mbona sioni Channel ten kulalamikiwa maana nayo inaongoza kwa vya dini wakina Mama Rwakatare,Lusekelo na wengine kibao.
 
Uzi huu ulindwe kwa maslahi mapana ya taifa

Kuna filamu inaitwa ABU HAMZA inaendelea kule ZBC2

Kuna filamu zimejaa maudhui ya itikadi Kali sana zinarushwa bila shida na mamlaka zipo kimya kwa muda sasa

Filamu zinaonyesha wasiokuwa waislam wanauwa na kuchinjwa hadharani huku wanaouwa hupewa vyeo ,mali na wanawake

Filamu zinazonesha maudhui ya kujitoa mhanga hadi kufa kisha wanappngezwa kwa kuwauwa wasio kuwa waislamu

Filamu zinazoonesha haja ya kueneza dini kwa mauaji na mateso kwa walioikataa mpaka wakubali

Filamu inayonesha kama mwanamke sio kitu mbele ya jamii yake

Japo sheria haiitambui Zanzibar kama nchi ya kidini vilevile Tanzania bado hi filamu zisingefaa kwa dunia ya sasa na hofu ya machafuko.

Mnataka mpaka nchi ichafuke au vitendo vya ugaidi vizidi ndio mkemee

chanzo ZBC2
Islamaphobia....
 
Unataka wote tuangalie Emanuel TV,acha udini,mbona mengi ya kidini yanafanyika na watu wanavumilia tu,Fanya ibada kwa Imani yako ukauone ufalme wa mbinguni,hata kama TV zote zikionesha filamu ya Yesu bado hautaingia mbinguni bila kusali au kuswali
watapata tabu sana....
 
Nimeishi Zanzibar 99% ni waislamu hata askari wanaohamishiwa kule 90% huchaguliwa waislam nadhani ni kuendana na mazingira yao.
ZBC ni ya WAZANZIBAR hivyo sitarajii kuona BAHATI BUKUKU akipewa kipaumbele.
TUWAACHE KWA MAANA WAO NI DOLA KAMILI.
TUKIANZA KULALAMIKA KAMA WANATUMIA KODI ZETU INACHOSHA AKILI.
 
Ndiyo maana Tz bara inalazimisha uchumba na zanzibar ili kutowapa green light ya kuwa full dola ya uislam.Terrorist camp
Uzi huu ulindwe kwa maslahi mapana ya taifa

Kuna filamu inaitwa ABU HAMZA inaendelea kule ZBC2

Kuna filamu zimejaa maudhui ya itikadi Kali sana zinarushwa bila shida na mamlaka zipo kimya kwa muda sasa

Filamu zinaonyesha wasiokuwa waislam wanauwa na kuchinjwa hadharani huku wanaouwa hupewa vyeo ,mali na wanawake

Filamu zinazonesha maudhui ya kujitoa mhanga hadi kufa kisha wanappngezwa kwa kuwauwa wasio kuwa waislamu

Filamu zinazoonesha haja ya kueneza dini kwa mauaji na mateso kwa walioikataa mpaka wakubali

Filamu inayonesha kama mwanamke sio kitu mbele ya jamii yake

Japo sheria haiitambui Zanzibar kama nchi ya kidini vilevile Tanzania bado hi filamu zisingefaa kwa dunia ya sasa na hofu ya machafuko.

Mnataka mpaka nchi ichafuke au vitendo vya ugaidi vizidi ndio mkemee

chanzo ZBC2
 
Nani kakutuma uiangalie? Si ukaangalie Upendo TV utume na Mpesa?
 
mwanamke ndio huwa zawadi kwa wenzetu wakishaua, hata islamic state wakiua hupewa mabikra, ndio maana watoto wa shule hutekwa
 
Back
Top Bottom