Pole sana, its just Islamaphobic taboo!!!
Hofu isiyokuwapo!!!
Hata hivyo na kama sijakosea hakuna filam kwa jina LA Hamza.
Bali kuna filam kwa jina the The Messege ndani yake moja ya Character anaitwa Hamza.
Hii ni filam ya historian ya Uislam. Jinsi Uislam ulivyopatwa na Fitnah, hofu na misukosuko kutoka kwa makafiri wa Maaka hadi walipoletewa message kuwa sasa wameruhusiwa kujihami.
Ni non fiction movie.
Kuizuia filamu kama hii ni sawa na kuizuia waislam wasipropagate ya dini yao. Hii ni sawa na kuzuia mikutano ya Crusaide yaani historian ya ushindi wa vita vya msalaba dhidi ya wasio waktristo.
Taifa letu ni taifa la amani na kuvumiliana. Si taifa la mihemko, tunapigana sindano na huwa tunasubiri tu dawa iingie, akimaliza maisha yanaendelea.
Chukulia tu huyo Hamza ndie Rambo alivyokuwa anauwa kkule Afghanistan haitomaanisha kuwa anauwa wa dini ingine, Nadhani ulikwisha Iona movie hii ya Rambo sidhani kama ilileta hisia hizi unazoziona sasa.
Huu ni ushauri wa amani, tusijitengezee hofu, usiwalazimishe watu hofu inayotengezwa na mitandao huru ya jamii, ndio tumeumbwa na emotions, but usijipe haki ya hofu kutoka kwa jirani yako wa dini tofauti.
Priority to do is "don't sign unfold"