Filamu za Kijasusi

kuna muv inaitwa "Mentalist' ipo powa na niyakipererezi ni series
 
Search kwenye google, utapata list ndefu ya hizo movies... Pia nakushauri katafute movie ya 24 hours drama series, season 1-8, utainjoi sana.

we kweli ndo'kumepambazuka! Wakati jua utosini.
 
E bwana eee umenigusa ulipoitaja hiyo movie 24hrs kuna m2 anaitwa JACK BOUAR ni jana nimemaliza season ya 11 ni noma hauchok kuangalia haiish hamu

mtafute jamaa moja humu jf anaitwa "the bourne" ana undugu naye!
 
THE DEVEL'S ALTERNATIVE by Frederick Forsyth....... mkuu umenikumbusha mbali sana

kuna na hii toleo jipya "THE PARLIAMENT SEASON 2 2012" By "Frediric Werema", mkuu wa sheria.
 
Wana-jukwaa,
napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa JF-member @ SIFONGO, nimeweza kukutana nae leo hii na amenipatia series nyingi za kijasusi na kuniahidi kunipatia nyingine kadhaa week end.Hakika nimefurahi, ila kikubwa zaidi ambacho ningependa kukisema ni pale nilipojaribu kutaka kutoa asante/shukrani kwa kazi kubwa aliyoifanya hakuweza kukubali, alikataa katakata na kuniambia kuwa hivi ni vitu vidogo na vya kawaida. Napenda nirudie tena kutoa shukrani zangu za dhati kwa mkuu SIFONGO, baraka ziwe nyingi kwako.
kikubwa zaidi kilichofanya siku yangu ya leo kuwa nzuri, ni kwamba sikuwahi kufahamiana kabisa na SIFONGO zaidi ya kuwa nasoma post zake hapa JF, ila kukutana kwetu leo imefungua ukurasa mpya wa ujamaa kati yetu, nami nina deni kubwa sio kwake tu bali kwa kila mtu kwani utu aliouonesha kwangu ni ishara ya upendo, udugu, amani na furaha iliyopo kwa members wote wa Jamii Forums....

AMANI KWAKO SIFONGO!
 

Great! Umeeleza vizuri kabla wadau hawajachanganya mambo.....tena kama ni ya kijasusi, basi ni zaidi ya upepelezi wa kawaida! Na kwa kuongezea tu, hapo unaposema uuaji wa wanasiasa basi ni lazima baadhi ya matukio hayo yawe ni crossboarder na ambayo baadhi yake yanachochea uhasama wa kidiplomasia!
 
Hizi MOVIE za kijasusi naweza kuzipata kwa hawa wauza CD wa barabarani?
Tatizo hazina ubora unaweza ukanunua na wakati mamii amekuletea juice bariidi na popcorn huku mzee ukijiandaa kuburudika kuangalia picha kabala hata hujakalia sofa utasikia kwa kwa kwaaaaa ndio kwishney,nyingi zinakwama ni bora utafute wadau wanaoshusha picha kutoka kwa mtandao ,hizo ziko poa wengine wanauzaga humu pamoja na External HD
 
Hizo ndio movie za ukweli kaka,kama alivyouliza
 
,,,huyo ndiyo musika mkuu,,binti toka Bogota..hataki elimu anataka kujifunza silaha...anaambiwa bila elimu huwezi kufanya tukio la akili...hahahahahaa...Colombiana
aisee huyu dogo ni noma'' i told you what i want if you dont want to teach me fine'' alimwambia anko wake..........afu napenda pale alipojifanya mlevi mpaka anaburuzwa kupelekwa polisi.
 
Kuna hii ya ulimboka nayo ni yaukwel sana, stelingi ni nan tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…