Umenigusa hapo kwenye Missing ni series mpya ya mwanadada Ashley Judd, ndio nimemaliza kudonlwnload episode ya 10 pia tafuta series nyingine inaitwa Chuck japo ina ukomedy ndani yake, msururu ni mrefu ila kama vp tutafutane coz nina kama GB 2000 za series na movie tena kwaliti ya ukweli, HD na Blue ray, ila kwa haraka haraka tafuta movie zifuatazo: Five fingers, safe house hii ni mpya ya Denzel Washingtone,Hitman,Killers, Knight and Day ya Tom Cruz na Cameroon Diaz, Mission Impossible mpya(Ghost protocol) na Unthikable ya Samwel Jacson as i told tutafutane coz za kichina zitakuzingua kama kweli unapenda movie.