Filamu za Kijasusi

E bwana eee umenigusa ulipoitaja hiyo movie 24hrs kuna m2 anaitwa JACK BOUAR ni jana nimemaliza season ya 11 ni noma hauchok kuangalia haiish hamu
hiyo ya 11 umeitoa wapi ww. zipo 9 mkuu
 
Tafuta hizi...
1.Mission impossible ghost protocol.
2.Safe house.
3.Haywire
4.contraband
5.Lockout
6.Act of valor
7.I am number four
8.Law abiding citizen
9.Unthinkable
10.body of lies
11.The death and life of bobby z.
hizo zimetulia sana....japo sio zote za ki spy spy....
 
Imefika season ya 11 lini?? Acha uongo bwana, ya mwisho ni season ya 8. Labda ya kichina hiyo.

Ninavyosema hvyo ninazo zote jack anatakiwa kuuliwa baada ya kufanikisha mpango wake wa kuzuia ule mkatab usisainiwe...WABONGO KWA KUFOJI LABDA WAMEZIKATAKATA NDO MAANA ME NIMEONA HADI 11 WE 8 UMENISOMA MKUU 2KO PAMOJA
 
hiyo ya 11 umeitoa wapi ww. Zipo 9 mkuu

kuna mwingine kasema zko 8 nenda katafute zipo mwisho kabisa jack anawekwa kwenye gari aende akauliwe baada ya kuzuia ule mkataba usisainiwe kati ya rais taylor na mke wa rais aliyechnjwa kama umepaona hapo basi ni hawa wabongo watakuwa wamezikata il ziwe nying c unajua tena
 
Ninavyosema hvyo ninazo zote jack anatakiwa kuuliwa baada ya kufanikisha mpango wake wa kuzuia ule mkatab usisainiwe...WABONGO KWA KUFOJI LABDA WAMEZIKATAKATA NDO MAANA ME NIMEONA HADI 11 WE 8 UMENISOMA MKUU 2KO PAMOJA

Hapo ndio mwisho na ni season 8, wabongo wanachakachua tu na kuziproduce nyingi niliona season 9 nikajua imetolewa mpya kumbe ni season 6..
 
Tafuta " The Kenyan who Kidnaped Dr Ulimboka" by Kova the great. Ni filamu nzuri ya kijasusi, lakini mwisho Steringi Kova anakufa kwa kukabwa na mbirimbi.
 
Umenigusa hapo kwenye Missing ni series mpya ya mwanadada Ashley Judd, ndio nimemaliza kudonlwnload episode ya 10 pia tafuta series nyingine inaitwa Chuck japo ina ukomedy ndani yake, msururu ni mrefu ila kama vp tutafutane coz nina kama GB 2000 za series na movie tena kwaliti ya ukweli, HD na Blue ray, ila kwa haraka haraka tafuta movie zifuatazo: Five fingers, safe house hii ni mpya ya Denzel Washingtone,Hitman,Killers, Knight and Day ya Tom Cruz na Cameroon Diaz, Mission Impossible mpya(Ghost protocol) na Unthikable ya Samwel Jacson as i told tutafutane coz za kichina zitakuzingua kama kweli unapenda movie.
 
Nawashukuru wote kwa michango yenu bila shaka ntazitafuta haraka (hakika JF ni sehemu sahihi)
 
hiyo ni season finale jack bauer kampiga tukio charles logan.

You area absolutely right mkuu inatakiwa na bongo tumpate mtu kama huyu mzalendo aje anyooshe mambo kwa Logan wetu japo atakuwa na upinzani kama aliopata BAUER lakini mwisho wa siku somo litaeleweka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom