Filamu ya Ulimboka

Filamu ya Ulimboka

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
3,216
Reaction score
994
ulimboka karapina.jpg

Huyu jamaa anatengeneza filamu ya maisha na kutekwa Dr. Ulimboka
 
Je! Ipo madukani???????? Hata kama ni feki, nitainunua.
 
naomba na mimi copy moja! mtu muhimu sana asikosekane ni msangi, plaiz na makoleo pia viwepo!
 
msisahau kuzungumzia UDHAIFU wa serikal ye2
 
Chezea msitu wa pande nyie? ngoja mi nisepe sina kucha na meno ya ziada mie
 
atakae act na kutoa ukweli ni jasir kuliko ulimboka,
ntawachek bdae nasepa
 
Back
Top Bottom