Filamu ya SAMANTHA BRIDAL

Filamu ya SAMANTHA BRIDAL

Doyyi

Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
61
Reaction score
36
Wandugu natafuta series ya filamu ya 'SAMANTHA BRIDAL',hii ni ya wakenya ilikuwa inaoneshwa na Star tv mwaka jana(2013).Naomba msaada namna ya kuipata niko Mwanza.
 
Nenda Star TV pale Ilemela utapata....

BTW unataka sample za harusi??
 
Wandugu natafuta series ya filamu ya 'SAMANTHA BRIDAL',hii ni ya wakenya ilikuwa inaoneshwa na Star tv mwaka jana(2013).Naomba msaada namna ya kuipata niko Mwanza.

Unamaanisha yule white widow? Mjane mweupe kawapiga chenga wanausalama, je kweli yupo huyu dada au ni mazingaombwe!
 
Back
Top Bottom