Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,465
- 14,608
''If you want peace prepare for a war''..#Parabellum asee huyu mtu ni balaa zitoooo![]()
![]()



msemo wangu huu ngoja tuisubil hiyo chapter 4 Sent using Jamii Forums mobile app
''If you want peace prepare for a war''..#Parabellum asee huyu mtu ni balaa zitoooo![]()
![]()



msemo wangu huu ngoja tuisubil hiyo chapter 4 Namkubali sana huyu jamaaaMumkumbuke na Lance Reddick yupo kwenye hii series. Jamaa anawezea role zake kwa muonekano wake.
View attachment 1422743
Yupo kwenye "Angel Has Fallen" vile vile ya latest.
Yupo kikazi always.
tafuta zilizobakia....
kabisa....Ziko tatu , atafute zote afurahi na roho yake
Jamaa ni introvert kwenye maisha halisi...I like the guyNakubali sana casting za Keanu Reeves, jamaa mwenyewe hana makuu na mtu humble.
Nadhani uintrovert wangu umefanya nimkubali pia huyu jamaa.Jamaa ni introvert kwenye maisha halisi...I like the guy
Angepigwa mno na vijana wa mambo sasaKama ingekuwa CORONA imeua mbwa wa JONATHAN bas leo hii dunia nzima ingechafukaView attachment 1422672
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona wanaleta habari za kusajili credit card tena huu si ndio wizi wa mitandaoni?Tumia popcorn time ingia Google alafu search popcorn time APK file.
Mkuu mbona wanaleta habari za kusajili credit card tena huu si ndio wizi wa mitandaoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
kama umeielewa Picha na unaisubiria kwa hamu zote. You just can't wait! Gonga Likekama umeielewa Picha na unaisubiria kwa hamu zote. You just can't wait!
“YOU STABBED THE DEVIL IN THE BACK. TO HIM, THIS ISN’T VENGEANCE; THIS IS JUSTICE.”
"YOU WANTED ME BACK. I'M BACK."
“WHOEVER COMES, WHOEVER IT IS... I’LL KILL THEM. I’LL KILL THEM ALL.” View attachment 1450075
Sent using NASA Satellites
Mkongwe kwenye kazi za kimafia na muuaji wa kukodiwa asie na mipaka john wick,anastaafu hiyo kazi baada ya kuoa na kutulia na mkewe..
Baada ya mkewe kuugua ghafla na kufa,john anabaki kwenye huzuni kubwa..na maisha yakaendelea akiwa na zawadi ya mbwa alioachiwa na mkewe kama kumbukumbu
..Mtoto mmoja muhuni wa tajiri anamuona john wick sheli na kumwambia amuuzie gari lake..john anakataa..
Yule kijana akafanya kosa la kumfatilia john mpaka nyumbani kwake na wenzie na kumpiga kipigo cha mbwa mwizi wakitafuta funguo za gari,wakafanya kosa lingine kubwa zaidi
.....wakamuua mbwa wake...
..Walipopeleka gari gereji likabadilishwe..mwenye gereji akawafukuza sababu gari analijua ni la nani..yule kijana alipoenda kwa baba yake ambae ni tajiri na ni muuaji pia,akamwelezea..baba mtu akashtuka..akamuuliza mtoto wake"umechukua gari la nani?..mtoto akajibu "aah baba lile si gari tu na yule ni mnyonge"
..Baba akafoka akasema kwa sauti..lile sio gariiii...lile ni gari la
john wick..
..Mtoto akauliza "john wick ni nani"?..
..Baba akamnasa kwanza kofi mwanae halafu akaanza kumwambia kuhusu huyo john wick..huku akimwambia mwanangu umeyakanyaga..kaandae jeshi mpaka kutoka australia..umeamsha jini..
alipoambiwa kuwa na mbwa wake tumemuua mzee sigara ilimtoka mdomoni..anamjua vizuri huyo mtu
Muda huo john wick baada ya kuamka alipopigwa,akaamka akiwa yule john wick waliemsahau..mnyama..binadamu mwenye roho mbaya kuliko roho mbaya yenyewe...
...Rafiki yake john wick askari akamwambia hawa vijana ntawakamata john akamuuliza "umenisahau"..yule askari akatetemeka..aksema kazi imeanza,maaskari waanze kuokota maiti..sababu ni mbwa tu..
.Kweli jiji lilizima...mji ulichafuka..dunia ilijua..
...ITS JOHN WICK MOVIE SERIES..
![]()
Viggo Tarasov: John was once an associate of ours. They call him Baba Yaga.