Filamu: Lone Survivor

Filamu: Lone Survivor

Hata mimi pale sikuwaelewa au walidhani Asingeenda kusema
Walikuwa na option tatu ila kiongozi wao aliamua kuchukua mojawapo na alikuwa sahihi kwamba op imeshakuwa compromised hivyo wamuache yule kijana na mzee wake na ndugu yake kisha wao warudi juu ya mlima watafute mawasiliano warudi kujipanga upya ila tatizo likawa mawasiliano hayakuwa mazuri
 
Acha kabisa ni hatari sana kuingia kwenye Game bila kujua Uwanja ukoje maana jamaa pamoja nakuwa na Silaha zakisasa Taliban I wako na AK47 lkn waliwatuliza

Naona lile suala la wamarekani ghafla kutokewa na jambo wasilotarajia na kuzuka ubishi mkubwa baina yao ya '' je tuwamalize hawa wachunga-mbuzi au la '' ndilo lililosababisha kushindwa kumaliza misheni yao na kupelekea makomandoo karibia wote kumalizwa ila mmoja kubaki hai na kusimulia mkasa mzima wa ''kuweka utu mbele''.
 
Naitafuta his move mkuu bala saana walichapwa kinomaaa na ni based on true story....

Kosa lao ilikuwa ni kuchukulia kibinadamu
 
Ndo hivyo utafundishwa yote yahusuyo ukomandoo lakini kutokana na mazingira waliyokulia wamarekani kutotegemea kukutana na familia ya wachunga mifugo vileleni mwa milimani yenye majabali/ vichaka ikawaondoa umakini /focus ya jinsi ya kumaliza misheni yao kuu ya kummaliza kiongozi wa Taliban. Ugenini ni Ugenini tu.
 
Hii ni story inayoelezea jinsi wanajeshi wa Marekani walivyoenyeshwa na WATALIBAN kwenye milima ya Afghanistan.

Tafuta mahojiano ya Marcus Lutterl na pia tafuta movie ya American Sniper inayoelezea true story ya Chris Kyle the most lethal sniper of this generation aliyekuwa na 160 record kills. Jamaa alikuja kuuliwa na rafiki yake wakati anam-train pia unaweza tafuta mahojiano yake ili uone history ya maisha yake
 
Naona lile suala la wamarekani ghafla kutokewa na jambo wasilotarajia na kuzuka ubishi mkubwa baina yao ya '' je tuwamalize hawa wachunga-mbuzi au la '' ndilo lililosababisha kushindwa kumaliza misheni yao na kupelekea makomandoo karibia wote kumalizwa ila mmoja kubaki hai na kusimulia mkasa mzima wa ''kuweka utu mbele''.
Ukitaka kufahamu kwanini wanapeleka makomandoo wachache vile katika misheni tafuta documentary za SEAL Team uone shughuli yake.
Kilichowaponza ni habari ya Rules of Engagement kujifanya haki za binadamu ziko mbele wakati mko kwenye battle. Angalia athari za hizo rules katika movie ya Rules of Engagement ya Samuel Jackson
 
Ndo hivyo utafundishwa yote yahusuyo ukomandoo lakini kutokana na mazingira waliyokulia wamarekani kutotegemea kukutana na familia ya wachunga mifugo vileleni mwa milimani yenye majabali/ vichaka ikawaondoa umakini /focus ya jinsi ya kumaliza misheni yao kuu ya kummaliza kiongozi wa Taliban. Ugenini ni Ugenini tu.

Communication ilikuwa poor na walielewa hilo so kinda comm iliwa let down...

Cha pili walipowashika wale wasingefuata kanuni wangeondoka wawaache wamewafangua labda wangeweza kufika pahali wakapata comm wakawa extracted coz mission was already cancelled coz it was compromised.

Hii kitu applied in life kuna time wewe usiwaonee huruma watu when it comes to ur survival son...

My take
 
Published on 14 Jan 2015
Immigration Attorney Michael Wildes Secures Safe Passage for Afghan Hero Mohamed Gulab, who saved Navy Seal Marcus Luttrell as famously depicted in the film "Lone Survivor"

Mohamed Gulab, who saved the Navy SEAL Marcus Luttrell from the Taliban, has successfully fled Afghanistan with his family. Michael Wildes, Managing Partner of Wildes and Weinberg, P.C. is pleased to announce that his client, Mohammed Gulab, is now out of Afghanistan with his family. Wildes stated: "He is now out of Afghanistan, a refugee under international law. He is a man who now seeks safe haven to avoid being sent back with his family by any government that would have the gall to put him in harm’s way."

“I have received word from the U.S. government that Mohammed’s case is currently under review for, what I hope will be the resettlement of him and his family here in the United States,” stated Managing Partner, Michael J. Wildes.
For those who may not be familiar with Mohammed Gulab, an Afghani goat herder, Gulab, took on the role of protector for a wounded Navy SEAL Luttrell against all odds. Wounded, alone and outnumbered, Navy SEAL Luttrell had little chance of survival in the hills of Afghanistan, an area controlled by the ruthless Taliban. Gulab displayed instinctual courage and humanity by rescuing the SEAL, and ensuring his safety back to his U.S. military unit. From that moment, Mr. Gulab was a marked man. Since Navy SEAL’s Luttrell’s rescue, Mr. Gulab was shot and he and his family suffered ongoing violent attacks. In recent months, the Governor of the province where Gulab lived ordered his Commanders and the Taliban Mujahideens "to kill Gulab" stating: "I hope the suicide bombers or Taliban brothers will fulfill my order...send you to the grave...asking why you did not perform Jihad and why you handed over the Jewish, non-Muslim soldier to the Americans".

Michael Wildes, a former Federal Prosecutor (U.S. Attorneys Office) and Mayor (Englewood, New Jersey) added: "Our government can take ownership by granting Mr. Gulab and his family refugee status, so that they can resettle permanently in the United States. We will continue to work with the U.S. government on Mr. Gulab’s behalf to embrace this extraordinary hero and provide the safe haven to him and his family. We can never forget his courage and hospitality he once provided by opening his humble home’s door to our wounded soldier."

Immigration Lawyer Michael Wildes on Hero Client Mohammad Gulab
 
Kuna sehemu wakati Marcus kabaki na yule mwenzie chin ya mwamba alisema "...u will die for u country but i will live for mine..." Akiwaambia waTaliban
 
True story movies
Lone Survivor
American Sniper
13 hours
 
Hii ni story inayoelezea jinsi wanajeshi wa Marekani walivyoenyeshwa na WATALIBAN kwenye milima ya Afghanistan.

Hao ni watu wanne waliokwenda mission ya kuchukua surveillance ya Shah....

Bahati mbaya mission ikawa compromised. ....

Huezi linganisha wanajeshi wanne hata kama ni makomando na kile kikosi cha Taliban

Pili jama walikuwa wanashambuliwa na rocket rangers etc etc kiukweli walikuwa hawana power pale ila wamejitahidi kama commandos..

Wajinga ni wale walioona hakuna mawasiliano hawakupata red sign pia wameenda kuremba helicopter yao ikachapwa down wale ndo mbuzii..

Hii ni moja ya true story ambayo wa america wame record a failed mission. ....

Siku hizi waki fail mission wanachomoa faster wamejifunza mistakes za nyuma...

Hii inagusa saana moyo asee..
Vita isikie tu boss
 
Published on 14 Jan 2015
Immigration Attorney Michael Wildes Secures Safe Passage for Afghan Hero Mohamed Gulab, who saved Navy Seal Marcus Luttrell as famously depicted in the film "Lone Survivor"

Mohamed Gulab, who saved the Navy SEAL Marcus Luttrell from the Taliban, has successfully fled Afghanistan with his family. Michael Wildes, Managing Partner of Wildes and Weinberg, P.C. is pleased to announce that his client, Mohammed Gulab, is now out of Afghanistan with his family. Wildes stated: "He is now out of Afghanistan, a refugee under international law. He is a man who now seeks safe haven to avoid being sent back with his family by any government that would have the gall to put him in harm’s way."

“I have received word from the U.S. government that Mohammed’s case is currently under review for, what I hope will be the resettlement of him and his family here in the United States,” stated Managing Partner, Michael J. Wildes.
For those who may not be familiar with Mohammed Gulab, an Afghani goat herder, Gulab, took on the role of protector for a wounded Navy SEAL Luttrell against all odds. Wounded, alone and outnumbered, Navy SEAL Luttrell had little chance of survival in the hills of Afghanistan, an area controlled by the ruthless Taliban. Gulab displayed instinctual courage and humanity by rescuing the SEAL, and ensuring his safety back to his U.S. military unit. From that moment, Mr. Gulab was a marked man. Since Navy SEAL’s Luttrell’s rescue, Mr. Gulab was shot and he and his family suffered ongoing violent attacks. In recent months, the Governor of the province where Gulab lived ordered his Commanders and the Taliban Mujahideens "to kill Gulab" stating: "I hope the suicide bombers or Taliban brothers will fulfill my order...send you to the grave...asking why you did not perform Jihad and why you handed over the Jewish, non-Muslim soldier to the Americans".

Michael Wildes, a former Federal Prosecutor (U.S. Attorneys Office) and Mayor (Englewood, New Jersey) added: "Our government can take ownership by granting Mr. Gulab and his family refugee status, so that they can resettle permanently in the United States. We will continue to work with the U.S. government on Mr. Gulab’s behalf to embrace this extraordinary hero and provide the safe haven to him and his family. We can never forget his courage and hospitality he once provided by opening his humble home’s door to our wounded soldier."

Immigration Lawyer Michael Wildes on Hero Client Mohammad Gulab

Mohammad Gulab alitoa Msaada mkubwa sana
 
Hao ni watu wanne waliokwenda mission ya kuchukua surveillance ya Shah....

Bahati mbaya mission ikawa compromised. ....

Huezi linganisha wanajeshi wanne hata kama ni makomando na kile kikosi cha Taliban

Pili jama walikuwa wanashambuliwa na rocket rangers etc etc kiukweli walikuwa hawana power pale ila wamejitahidi kama commandos..

Wajinga ni wale walioona hakuna mawasiliano hawakupata red sign pia wameenda kuremba helicopter yao ikachapwa down wale ndo mbuzii..

Hii ni moja ya true story ambayo wa america wame record a failed mission. ....

Siku hizi waki fail mission wanachomoa faster wamejifunza mistakes za nyuma...

Hii inagusa saana moyo asee..
Vita isikie tu boss
Kuwaachia wale wachunga mbuzi lilikuwa ni kosa kubwa sana, huku wakijua kuwa radio signal zimeshakata.
 
Communication ilikuwa poor na walielewa hilo so kinda comm iliwa let down...

Cha pili walipowashika wale wasingefuata kanuni wangeondoka wawaache wamewafangua labda wangeweza kufika pahali wakapata comm wakawa extracted coz mission was already cancelled coz it was compromised.

Hii kitu applied in life kuna time wewe usiwaonee huruma watu when it comes to ur survival son...

My take
Ni kweli, mawasilano ualiwaangusha sana.
 
Wangeendelea kuwashikilia mpaka wapate mawasiliano halafu hata kimbia ya yule jamaa iliashiria kitu kuwa wanaenda kusema.
Kukaa nao ndiyo lingekuwa jibu sahii.
 
Huruma iliwaponza wangeua tu liwalo na liwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom