SteveMollel mtunzi wa The platform aliwaza nini? Aisee ni bonge moja la movie,Goreng na Baharat, wamejitahidi kuweka usawa lakini wapi..hii movie ni ambiguous Sana...nadhani mtunzi kuna kitu alitaka tukitafute wenyewe hasa jinsi alivyoimaliza hii movie..ni utata hasa!
Hata hivyo najiuliza kama Goreng aligundua levels ziko 333 na kila level ina wafungwa wawili it means wako 666 hii namba kiimani (Christians) ikoje? Kuna jambo hapa..japo nahisi mtunzi alimvika Goreng cheo cha Jesus may be aliyejitoa kwa ajili ya wengine..bado nimebaki na maswali mengi kuliko majibu..i recommend kila mtu aitizame hii movie itabadili mtizamo hasa kwenye maisha tunayoishi.