Filamu bora ya muda wote!? Hapana, labda bora ya miaka hii
Nakubaliana nawe kuwa ni moja ya filamu zilizochezwa na kuongozwa vizuri na kiuhalisia ukilinganisha na nyingiza wakati huu
Lakini zipo pia nyingine kama hiyo Fungu la Kukosa na ile nyingine aliyocheza Shamsa Ford kama Chausiku
Kwa filamu za zamani za kibongo tafuta kazi iitwayo "Harusi Ya Mariamu" iliyochezwa na Penina Mlama, Mwalimu Edwin Kaduma(RIP), Mama Tecla Mjata na wengineo. Huwa sichoki kuingalia.