Fikra za Mtanzania

Fikra za Mtanzania

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,677
150915_321999181234884_1701814826_n.jpg
 

Hakyanani.... huyu wenger anauza bunduki AK 47 kwa jirani yake ambaye ni adui... anaakili za kushikiwa na kupenda pesa..... naona mashetani yanamshangilia huyu jamaa.... inaniuma sana
 
mh!! ntamwelekeza kwa mfano halisi,, kwamba gari linangurumaje( miungurumo tofauti) alafu tena ....ntamshikisha baadhi ya magari aeze kujua kuwa kuna ya ukubwa tofauti,,,,ntamshikisha pia matairi,,,,

Nashukuru kwa kumjibu, ila na wewe nakupa homework.
Hebu fikiria uko na kipofu halafu anakuuliza gari ni nini utamwelezeaje ili na yeye aelewe kama alivyoelewa
Bujibuji????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom