Fikra za Masoud Kipanya: Kutoka Sisiemu hadi Nyinyiemu

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
2,338
5,263
Kutoka Sisiemu hadi Nyinyiemu

Hiyo ndo Caption ambayo ningeipa katuni hii ya leo ya Le Akili Kubwaaaz Masoud Kipanya...

Things fall apart

Thrilling, brilliant😅

IMG_20190718_101433.jpg
 
Museveni aliuliza "huu ni 'bwato' wa kutengenezea pombe au wa kutuvusha Ziwa Burigi?" 🤔🤔🤩
...... hafafu akapotezea kwa kuulizia kitongoji cha Bwanga, wasukuma wenzangu wakacheka wakifikiria anaongelea kipara chake maana kwa kisukuma wanga (bwanga) ni upara 🤭 😂 !
....... Lakini kwa waswahili wa pwani bwana ihiii, WANGA (BWANGA) manaake ni '
WITCHES' ☠☠💀
1563437498616-png.1156379
 
Kwamba mpini mmoja hauna maana sababu mpini uliopo unatosha kuweka jembe na nyundo na maisha bado yakaenda?
 
Back
Top Bottom