Fikra yenye uketo (Deepness)!

Fikra yenye uketo (Deepness)!

syndicate

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2016
Posts
257
Reaction score
478
Asalaam Aleihkum!

Ndugu zangu Kwa heshima na tahadhima,

Naomba kuchukua nafasi hii kuwaalika nyote, katika thread hii maalum ya KUTUPIA neno lolote LA KISWAHILI SANIFU KABISA NA MAANA YAKE!


Ili sote tuburudike vyema na maneno KUNTU ya kiswahili tusiyoyafahamu!

Katika kumuenzi na kumuunga mkono ndugu yetu JORAM NKUMBI ,

Katika kumalizia naomba mimi mwenyewe kuanza na neno;

UKETO--- Kina(deepness)

Na wewe karibu utiririke neno moja maalum kabisa katika kuusindikiza mwezi mtukufu wa ramadhan...!!


Mods tafadhali naomba msiunganishe au kuhamisha thread hii maana inaongeza uzoefu wa watu katika lugha yetu adhimu kabisa!!!
 
Back
Top Bottom