Fikra pevu kutoka kwa Bonta

Fikra pevu kutoka kwa Bonta

Acheni Kuwavika Watu majina wasiostaili
IMG_20170526_215200_127.JPG
 
Unapoandika kitu jaribu kutoa na Credit kwa yule uliyecopy naona karibu thread zako zote unacopy Facebook kwa huyu jamaa!
88917b5dd50486649b483caa447a2e5e.jpg
965866c729be1186b3b545a5435400f1.jpg
Mkuu mbona kama watokwa na kapovu vilee. Sasa unajuaje kuwa ana copy je kama ni mtu mmoja jee anaye andika kule na huku maana hapa ni mwendo wa fake ID
 
Kuna wimbo Bonta aliwahi kuimba akiingizia jina la Bikira Maria, sina kumbu kumbu alifananisha na mistari yake au nini.

Tokea pale sikai nikamsikia Bonta tena.
 
Huo wimbo mzima wa Tokomeza Zero ni TOTAL CRAP na wrong idea. Mtu anayepata FOUR FOUR Hafundishi SEKONDARI na mtu anayemaliza na kupata FOUR form 6 hafundishi ADVANCED LEVEL.

- Mtu anafundisha kule alikofaulu, na siyo kweli kwamba ili uwe mwalimu ni lazima upate FOUR, Kuna waalimu wa DEGREE ZA UALIMU - So hao walifeli wapi ??

- Hata kwa watu waliopata THREE au FOUR kwa FORM 4 au 6 watarudi kufundisha kwenye level walizokuwa wamefaulu tena ni baada ya KUPIGWA MSASA WA UALIMU Miaka 2 tena !

- In short HUO WIMBO NI UPUMBAVU NA IDEA YA KIBWEGE Ingawa sishangai maana jamaa huwa ni FULL MIKURUPUKO na hajawahi kuwa na IDEA NZURI Hata siku MOJA !
Ukibahatika kukutana na % kubwa ya walimu wa primary utayakana maneno yako....au watembelee walimu wanaopokea watoto kutoka sm
 
Kwahiyo kwasababu ameimba sijui zero ndo apewe udokta?! Kila mtu akisema afanye kitu ili tukamtunuku unadhani tutawatunuku wangapi ? By the way hata T.O.T waliimba "acha tuisome namba" nadhani kwa wimbo huo ilitakiwa wapewe PhD maana yanayo imbwa humo ndani ndiyo yanayotokea mtaani kwenye hiki kipindi.
 
Ukibahatika kukutana na % kubwa ya walimu wa primary utayakana maneno yako....au watembelee walimu wanaopokea watoto kutoka sm
Tatizo siyo uwezo wa mwalimu husika maana hiyo siyo IDEA ya huo wimbo. Hao unaowasema ni walimu wa primary ni huwezi kukwepa ukweli kwamba huko wanakofundisha "Yaani Primary" walifaulu na kabla ya kuwa walimu waliwekwa darasani kwa miaka 2 !
 
Mkuu mbona kama watokwa na kapovu vilee. Sasa unajuaje kuwa ana copy je kama ni mtu mmoja jee anaye andika kule na huku maana hapa ni mwendo wa fake ID
Umemmaliza mkuu[emoji106] [emoji106] msamehe amekurupuka
 
Kwahiyo kwasababu ameimba sijui zero ndo apewe udokta?! Kila mtu akisema afanye kitu ili tukamtunuku unadhani tutawatunuku wangapi ? By the way hata T.O.T waliimba "acha tuisome namba" nadhani kwa wimbo huo ilitakiwa wapewe PhD maana yanayo imbwa humo ndani ndiyo yanayotokea mtaani kwenye hiki kipindi.
Ww ndio hata huelewi nini kinajadiliwa hembu soma vizuri uelewe nani kakwambia u dr unapewa kirahisi hivyo na toka lini basata wakampa mtu u dr
 
Kuna wimbo Bonta aliwahi kuimba akiingizia jina la Bikira Maria, sina kumbu kumbu alifananisha na mistari yake au nini.

Tokea pale sikai nikamsikia Bonta tena.
Jamaa nyimbo zake zote ni upuuzi, na kibaya yeye mwenyewe huwa anajiona anajua balaa kumbe pimbi tu
 
Back
Top Bottom