Umuhirindahu
JF-Expert Member
- Feb 2, 2014
- 349
- 170
Mtu mkimya wakati wewe unaongea kwa mdomo yeye anaongea kwa ubongo.
Ndio maana ukiona unaongea na mtu lakini yeye amekaa kimya achana nae.
Wakati wewe unaongea moja mdomoni yeye anawaza na kujibu mara nyingi zaidi kimoyo moyo.
Hivyo usishangea unavyoongea nae ukajua anakusikiliza kumbe yeye anatafuta namana ya kukujibu iwe kwa maneno au vitendo.
Na mbaya zaidi kila unachokiongea hasahau.!
Sio dharau,kaa nao mbali ni hatari
Wana JF hivi ni kwanini watu wakimya (wasio waongeaji kitabia) jamii huwachukulia kama wanadharau....
Siwapendi watu wakimya kabisaa
Siwapendi watu wakimya kabisaa
Ni ya ukweli hayo na safi sana hata mimi ni hivo hivoMimi mkimya Sana na sipendi mambo ya kipambuvu! nawaheshimu Sana watu wanao jiheshimu!
Mi nikiwa kwenye keyboard nabwabwaja sana ila kwenye real life ni mkimya na wengi huwa wananiogopa