KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,679
- 8,866
Ninatazama kwa mapana yake nchi hii nikama ndiyo tunapata uhuru na, Rais anajenga nchi upya, nchi ambayo ilikuwa haina ufuataji wa sheria,na mianya mingi ya rushwa utendaji usiokuwa na tija ndani ya serikali sasa Rais amekuwa akirekebisha kuziba mianya ya rushwa kwa watendaji pia kuwafukuza watendaji wasiyokuwa waaminifu,na kuboresha miundo mbinu, lakini kama nilivyosema mda wakutenda haya hautoshi na maendeleo yanaitajika je miaka 8 iliyobaki?Je ili tupate maendeleo tunayoyahitaji kwanini tusipige kura ya maoni ili rais aliyopo aongezewe mda ili tuone Tanzania iliyompya?
Nawasilisha
Nawasilisha