Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,845
- 5,077
Ni dawa zanini hizo mkuuVipi wanaomeza Dapagliflozine kila siku, wao wana afadhali gani.
Nadhani ni dawa za eboraπ€Ni dawa zanini hizo mkuu
Ni maisha tu, kuna wanaochoma insulin kila siku piaFIKIRIA WANAOMEZA ARVZ KILA SIKU π’ π π’
Wagonjwa wa lile janga na HOMA ya INI
Nawahurumia sana natamani watoke huo utumwa.
Wao wanaambiwa zinafubaza-Lakini Madhara yake hawaambiwi dah moyo umekufa ganzi maana nina majirani wana hizi mambo.
Ni kweli kabisa, kuna wagonjwa wa akili kila siku wanameza dawaKwanza lazima ufahmu, Si Ukimwi peke yake ndio mgonjwa anakunywa dawa kila siku. Yapo magonjwa tele ambayo wagonjwa wanaishi kwa kila siku kunywa dawa Maisha yake yote, na kutokana na mwili wa mtu wapo wanaopata madhara.Hiyo ni kawaida ya dawa, ila madhara ya kuacha ni makubwa zaidi. Sasa "the ball is in your court"
Madhara ganiFIKIRIA WANAOMEZA ARVZ KILA SIKU π’ π π’
Wagonjwa wa lile janga na HOMA ya INI
Nawahurumia sana natamani watoke huo utumwa.
Wao wanaambiwa zinafubaza-Lakini Madhara yake hawaambiwi dah moyo umekufa ganzi maana nina majirani wana hizi mambo.