mr. loner
Senior Member
- Aug 1, 2014
- 168
- 229
Wakuu leo nimeamka na mawazo sana, kuna mda nimekaa nikafikilia hali ya maisha na uchumi wa kila Mtanzania mpaka nikamkumbuka baba wa taifa, lakini nikajisemea kimoyomoyo, hivi kwanini mwalimu asingefufuka mda huu tu? Ama kile kifimbo chake kiamke kianze kutenda haki.
Unajua sasa hivi imekuwa kama desturi kila mwenye madaraka anafanya ambacho anaona kitamfurahisha mkuu wake whether in good faith or not, ata akiwa against na haki za binadamu it's okay mradi yanampendeza fulani, mbeya day waalimu wa field wametenda kosa lakini suala limechukuliwa kisiasa zaidi, leo tujiulize waalimu hao hao wakaamua no kuchapa no to look the students behaviors and warn them, tutakuwa na taifa gani? Bora mwalimu angeshuka tu atembeze kichapo heshima irudi kama zamani.
wapo wafanyakazi wa serikali wanaangaika sa hivi japo vyeti vyao halali na wengine sio halali, suala la kujiuliza huu uhakiki wa watu wasiovuka laki 6 ni uhakiki kweli ama kuna jambo limejificha nyuma ya pazia, maana kama ni kuhakiki ungepita mara moja kwa nyanja zote, na kimsingi serikali kama serikali ingehakiki na NECTA ingetumia mwanya huo huo pia NIDA nao wangepita hapo hapo kuhakikisha hawawasumbui watumishi lakini sasa hivi kila mmoja anakaa anatoa tamko ili mradi kamfurahisha mkuu. Wanasahau wapo wananchi wanaosubiri ajira.
Nadhani muda umefika wa kujenga uchumi wetu whether unamfurahisha mtu or not ili maendeleo yanaonekana maana utendaji wa leo ni kabisa tofauti na enzi za mwalimu. Am sure kama baba wa taifa angerudi leo angewaadhibu watu wafuatao.
Wa kwanza ni profesa Lipumba, huyu jamaa anapoteza uelekeo wa professional yake, kajiingiza katika siasa kaacha kutumia elimu yake kuwasiliana watanzania na kuna kipindi ailijiuzulu siasa ila leo karudi tena na kibaya zaidi anaitumia sheria kulazimisha arudie cheo chake alichokikataa mwenyewe 2015, kwangu namuhita mtu asiyependa mabadiliko, ama mchumia tumbo.
Mtu Wa pili ambaye mwalimu angadeal naye ni mheshimiwa raisi Dr. John Pombe Magufuli, nina uhakika huyu baba wa taifa angempa medal ya dhahabu, kwanza kaondoa matumizi yasiyo ya lazima, pili kaondoa watumishi wa uwongo ambao wengi mnawaita hewa. To be honest mwalimu Nyerere angempongexa sana. Japo nina uhakika fimbo ya mwalimu asingeikwepa maana angeulizwa hawa watumishi halali bora hijawaboreshea mazingira yao? Hawa waalimu wanaosubiri ajira kwanini umewaweka kando? Hapo lazima angepata bakora.
Lakini cha tatu nina uhakika mwalimu asingewaacha wote wanaomshabikia raisi Kwa kutoa matamkwa ili mheshimiwa raisi alone wanaenda na kasi ya hapa kazi, na wengine wanafanya ilimradi kamfurahisha boss. Kwangu nawaita wanafiki kwasababu Hawapo kuwatetea wananchi bali kulinda masilahi na kamfurahisha boss tu.