nanjihillzy
Member
- Oct 15, 2013
- 22
- 3
Busara tup
Senior Boss asante sana kwa ujumbe huu
Ujumbe muafaka
Ngoja niwaite HorsePower na SnowBall na gfsonwin wausome na dada yangu mpendwa AshaDii
umenikumbusha jambo ambalo limenifanya niache kinywa wazi
sina lugha ya kuiweka hapa lkn saa ikifika nitakupa ushuhuda huo
Inaonyesha una akili zilizotulia na ni mtu mzima uliyepevuka na hii inaingia kwenye maeneo mengi sana ya kimaishaMzee mmoja alianza hofia kuwa yawezekana mkewe kaanza matatizo ya kutosikia vizuri.Hivyo ikambidi amtafute daktari wa familia na kumsimulia mkasa mzima.
Baada ya daktari kumsikiliza yule mme vizuri, akamwambia kuwa sasa atahitaji akirudi nyumbani amfanyie jaribio moja mkewe ili majibu yake yaweze kumpa dokta mwanga wa kumsaidia kulitambua tatatizo na yule mama apone.
Daktari akamwambia, ukirudi nyumbani simama futi 40 kutoka kwa mkeo na kwa sauti ya mazungumzo ya kawaida ongea neno ili uone kama atasikia na kama hatasikia simama karibu futi 30 ukimsogela , kama hatishoshi ongeza zaidi futi 20 mpaka atakapo kusikia
Jioni yake mzee akiwa sebuleni na mama akiwa jikoni anaandaa chakula cha jioni, baba akiwa sebuleni akamwita mkewe na kuuliza, Mpenzi tuna kula nini leo jioni? lakini mke hakujibu.
Mzee akazidi kusogea futi 30 karibu akamuuliza tena, Mpenzi tuna kula nini leo jioni? lakini pia mke hakujibu, mzee akasogea tena futi 20 karibu na jikoni na kumuuliza tena, Mpenzi tuna kula nini leo jioni? mara hii mke hakujibu tena.
Basi ikambidi yule mzee amsogelee mpaka karibu yake na kumkumbatia mgongoni huku akimuuliza tena Mpenzi tuna kula nini leo jioni? mkewe akamjibu, mme wangu nimepika kuku mbona nimekujibu tangu uko sebuleni ina maana hukunisikia?
Mzee yeye alidhani mkewe ndio mwenye tatizo la kutomsikia mtu akiwa mbali yake kumbe yeye mzee ndio mwenye tatizo la kutosikia mtu akiwa mbali.
Ndio ilivyo katika Maisha yetu ya kila siku, tunaweza tukafikiri kuwa wenzetu ndio wenye matatizo zaidi lakini kumbe sisi ndio wenye matatizo zaidi.
Pia ni vyema kutokuwa wepesi wa kuhukumu au kueneza jambo lolote tunaloliona kuwa ni baya bila ya kuangalia sisi tupo upande gani katika uvumi huo.
Ni rahisi kufikiri unawaharibia watu kumbe unajiharibia.
Life is a learning experience.
I've seen a lot of cases similar to this one. Its time people change.
Thanks mkuu. Pamoja sana.
Nimepata kitu cha tofauti kwenye hii thread. Ubarikiwe
Naomba nisindikizie hili somo na hichi kibao cha Lucky Dube,
Lucky Dube - Shut Up Lyrics
Don't close the door behind you
You might wanna go through it someday
Don't burn that bridge
You might wanna cross it someday
Your best friends today
Could be your worst enemies to morrow
Your worst enemies today
Could be your best friends tomorrow
Don't burn the bridge
Don't cross the door
Chorus
And if you can't say something good about somebody
Oh shut up
And if you can't say something about somebody
Just shut up.
Don't say those words that will hurt people
Don't do those things that will hurt people
The things you say today
Will come and haunt you tomorrow
The things you do today
Will come and haunt you tomorrow
Do unto others as you would like them do unto you
And if you can't say something good about somebody
Oh shut up
And if you can't say something good about somebody
Just shut up
Mkuu umeandika mambo ya ukweli kabisa, wakati mwingine tunajihesabia haki wenyewe
Kusema kweli hata mimi hii tabia kuna wakati nakuwa nayo lakini now nakua na kujifunza mengi sanaNa huku kujihesabia haki kunatutesa sana katika maisha.
Ahsante mtoa mada.
Inaonyesha una akili zilizotulia na ni mtu mzima uliyepevuka na hii inaingia kwenye maeneo mengi sana ya kimaisha
Kusema kweli hata mimi hii tabia kuna wakati nakuwa nayo lakini now nakua na kujifunza mengi sana
Mara nyingi sisi wenyewe ndio chanzo cha yote yanayo tokea maishani mwetu whether positively or negatively.
You never change things by fighting the existing reality. To change things, you build a new model that makes the existing model obsolete.
ddah.. kipya hakinyemi!! ngoja tutamuhoji kwanza hivi ni kweli au anatania?^^
Munkari ii! Asante kwa kuniita.. Si unajua tena busara za aina hii zinapatikana kwa wachache?
Madame B ameenda kwa Ben Saanane
cc: mwekundu
^^