Fikira za ngono baina/kati ya jinsia

senkss..wengne n hevi weiti kiaina..najifua kiaina kuwa fiti..ila hata nchoke vp..binti wa Eva akijpendekeza...atajpa likizo ya ck 3 baada ya libeneke.... hadi huwa najiuliza kama nna ka-pepo!!kazi,zoez c tiba..!!
Aisee kumbe tupo wengi sana. Kuna cku nilikuwa na hamu sana na hiyo kitu nikasema ngoja niende kuogelea kwa saa kama mbili, mzee si nikajitoma swimming nikaogelea kwa nguvu zangu zote kama masaa mawili hivi continuously and guess what yaani ile natoka tu swimming tamaa ikaongezeka 100 times as much. Sasa nikawa najiuliza what is wrong with me????!!!!!!!! Baadaye nikaona poa tu after all kupenda ngono sio tatizo hata kidogo.
 
Exercising frequently ni viagra tosha, kwa kama asilimia 75 hadi 80 ya wanaume. Haya matatizo ya maprofessa uchwara ya kutoa tiba za nguvu za kiume na utumiaji mwingi wa Tadalafil, sildenafil na madawa mengine ya erectile dysfunction isingekuwa necessary. Na ukiwa una exercise mwili wako uko poa, then kwa wanaume mawazo huja na kutoka kama ndege airport. Watu wengine wanaesema hii ndo inasababisha wanaume wawe wepesi kuvunja maagano yao na wana tamaa nyingi. Sijui. Ila kuja mawazo na kutoka mara kwa mara haimaanishi kuwa lazima uwe unatekeleza kila mawazo yanapokuja. Kwanza haiwezekani kufanya hivyo kwa sababu mawazo ni mawazo tu.

Ila suala hili husaidia wakati unapokaribia vitendo vyenyewe kuwa huhitaji kusukumwa, you see you catch you do. Unakuwa tayari muda wowote!! Naona hii ni tofauti kubwa with females ambao mara nyingi anahitaji kuamshwa ndo awe tayari (biological control). Kuwaza nadhani si tatizo, tatizo ni pale inapoingilia shughuli zako za kawaida na kukuletea shida. Au tatizo ni pale inapotokea ukajiona uko kwenye privacy fulani unaamua kurukia kama jogoo (kubaka); naam, watu hufanya hivyo hadi maofisini na huishia kwenye matatizo!! Au tatizo ni pale unapowaza hadi kufikia hatua ya kuwa stressed!! Lakini kama unawaza tu halafu yanaishia huko huko, si tatizo.

Kwa hiyo ni vizuri females tu wakajua bila shaka yoyote kuwa anapokuwa na male ambaye si ndugu yake; then ajue mawazo ya ngono at one point or another yatakuwa on the table. Kwa hiyo suala la kuwa very provocative katika uvaaji, maneno na hata vitendo; wajue inaongeza chumvi kwenye kidonda. Na pengine wakijua hivyo baadhi ya matukio ya rape na rape attempts yanaweza kuepukika.

Men, yes they think about it every now and then!! That's how they are meant to be by the way, otherwise tusingeongezeka duniani.
 
Nimeshawahi kuona tafiti mbalimbali na kusoma makala kadhaa zinazodai eti wanaume kwa wastani huwaza kuhusu ngono kila sekunde 7. Sijui kama ni kweli au vipi lakini hivyo ndivyo inavyosemekana.

Sasa jana wakati natoka zangu kazini nikaamua kupitia mall. Nilikuwa naenda zangu kula mbawa za kuku (chicken wings) kwenye lounge iliyopo ndani ya mall kwa sababu sikuwa najisikia kupika. Basi nikafika nikaegesha mchuma wangu halafu huyo nikaingia ndani. Nikala mbawa zangu nilipomaliza nikajiondokea zangu.

Kutoka nje kwenye parking lot nikawa nimesahau nimeegesha wapi gari. Hii huwa inanitokea sana hasa kwenye sehemu zenye parking lots kubwa kama Walmart. Sikutaka kubonyeza panic button kwa sababu inapiga kelele sana. Basi nikaamua kuzunguka tu hapo kwenye parking lot kutafuta nilipoegesha.

Katika zunguka yangu hapo kwenye parking lot nikakutana na mdada aliyekuwa anahangaika kufungua mlango wa gari yake. Nikamsalimu halafu nikajitolea kumsaidia kufungua mlango wa gari yake. Alikuwa mdada maridadi kwelikweli. Kuanzia kichwani hadi miguuni. Halafu alikuwa ananukia vizuri sana hadi nikamwambia 'you smell good' naye kwa tabasamu akasema 'thank you'. Nikafanikiwa kuufungua mlango na akanishukuru sana. Akaniambia anafanya kazi hapo kwenye mall na kama mimi ni mwendaji wa mara kwa mara hapo tunaweza kuonana tena. Basi tukaagana, akaondoka zake nami nikapata nilipoegesha huyo nikatimka zangu.

Sasa muda wote ule pale wakati namsaidia mawazo ya ngono yakanijia. Nikaanza kumpiga picha kichwani mwangu akiwa mtupu na jinsi nitakavyomnanihino. Yaani muda wote wakati niko pale mpaka hivi sasa naandika hap bado namuwaza kingono ngono. Lakini hii si mara ya kwanza au ya pili. Ni kama jadi kwangu kuwaza ngono nimwonapo mwanamke. Hata nikiwa kazini siku akija demu kapendeza basi mawazo ya ngono yananijia. Hivi ni mimi tu mwenye kuwaza ngono muda mwingi au ni kawaida ya wanaume ngono kutawala fikira zao.

Na ninyi kina dada huwaga mnawaza sana ngono?
Wahaya utawajua tu
 
Exercising frequently ni viagra tosha, kwa kama asilimia 75 hadi 80 ya wanaume. Haya matatizo ya maprofessa uchwara ya kutoa tiba za nguvu za kiume na utumiaji mwingi wa Tadalafil, sildenafil na madawa mengine ya erectile dysfunction isingekuwa necessary. Na ukiwa una exercise mwili wako uko poa, then kwa wanaume mawazo huja na kutoka kama ndege airport. Watu wengine wanaesema hii ndo inasababisha wanaume wawe wepesi kuvunja maagano yao na wana tamaa nyingi. Sijui. Ila kuja mawazo na kutoka mara kwa mara haimaanishi kuwa lazima uwe unatekeleza kila mawazo yanapokuja. Kwanza haiwezekani kufanya hivyo kwa sababu mawazo ni mawazo tu.

Ila suala hili husaidia wakati unapokaribia vitendo vyenyewe kuwa huhitaji kusukumwa, you see you catch you do. Unakuwa tayari muda wowote!! Naona hii ni tofauti kubwa with females ambao mara nyingi anahitaji kuamshwa ndo awe tayari (biological control). Kuwaza nadhani si tatizo, tatizo ni pale inapoingilia shughuli zako za kawaida na kukuletea shida. Au tatizo ni pale inapotokea ukajiona uko kwenye privacy fulani unaamua kurukia kama jogoo (kubaka); naam, watu hufanya hivyo hadi maofisini na huishia kwenye matatizo!! Au tatizo ni pale unapowaza hadi kufikia hatua ya kuwa stressed!! Lakini kama unawaza tu halafu yanaishia huko huko, si tatizo.

Kwa hiyo ni vizuri females tu wakajua bila shaka yoyote kuwa anapokuwa na male ambaye si ndugu yake; then ajue mawazo ya ngono at one point or another yatakuwa on the table. Kwa hiyo suala la kuwa very provocative katika uvaaji, maneno na hata vitendo; wajue inaongeza chumvi kwenye kidonda. Na pengine wakijua hivyo baadhi ya matukio ya rape na rape attempts yanaweza kuepukika.

Men, yes they think about it every now and then!! That's how they are meant to be by the way, otherwise tusingeongezeka duniani.
We kweli kipima pembe......U measured the right angle exactly as it should be.
 
Dah afadhali nlifikiri niko mwenyewe!
Tusaidieni tupunguze haya mawazo manake hata uonje mara ngapi..,
Still mzigo wa maana ukipita...balaa lilelile...
 
Mkuu Nyani Ngabu, hata mimi hii kitu unitokea mara kwa mara!! Sometime huwa nahisi naweza hata kupata ajali especially nikiwa na drive kwenye barabara ambazo mabinti wanapita pembeni. Niko sexually active mpaka najiogopa.

Nimuonapo yule anayegusa mtima wangu niko radhi kupaki pembeni (hata sehemu isiyo ruhusiwa ku paki magari) au kama napandisha ofisini floor ya 4, naweza hata kupitiliza hata floor ya 28 ili angalau nibadilishane namba ya simu.

Wakati mwingine nikikaa na kutafakari ninavyowapenda walimbwende, naona poa tu because its sooooo fun undressing them!! Guys it makes life worth living!!
Mungu wangu hv ni kweli unayoyasema kaka? he sa utapenda wangapi na ku undress wangapi? mana warembo hawaishi kila kukicha wanaongezeka duh!
 
Back
Top Bottom