Fikira za mwenyeketi!........kuwavua gamba

Anayo amini ni sahihi ni yapi? Najisadikisha tulimpenda M/kiti wetu lakini sioni aibu kusema amechelewa! Amefumba macho mda mrefu sasa anakumbuka mswaki lunch time? Yote kheri na afanikiwe lakini ajue magamba yapo! Na siamini kama **** kujivua bali nikupiga moyo konde kuwavua kwani si wanawajua! kama sisi wana CCM tunawajua? Naamini huwezi imba wimbo usioujaa! Viongozi wetu wanaujua wimbo "GAMBA" sasa nawaumbe kikwelii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…