HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 607
- 553
Hii haijakaa vzr kabisa hasa ukizingatia kila mtu ana tarehe yake ya kuzaliwa ambayo ndiyo mwaka mpya wake apopaswa kuazimisha.
Kitu nilichogundua mimi ni kila jamii kuwa na maadhimisho kwaajili ya msimu fulani kama vile kukaribisha mvua au mavuno,nk
Huu ujinga wa kusema leo tunaadhimisha mwaka mpya bado ni ukoloni mambo leo na fikira potofu yafaa mwaka mpya kila mmoja aadhimishe kwa tarehe yake na kwa faida yake siyo kusimamisha shughuli kwa kitu cha uongo.