Honey Faith hatukunyanyapai bana tumetafuta jina la hiyo figure limekosekana mpaka tumewita mtaalam Tized aseme aise Tized kweli hii ni ya aina yake haimo miongoni mwa zile zinazojulikana
Namsubiri bosi wangu wakihindi apite hapa nimkague vizuri nimuoneshe na hii picha kama wana jina maalumu huko kwa akina Pandia. cc kabanga na mshana jr