Figisu la umeya Ilala na Kinondoni,ipi? hofu ya ccm kuhusu nafasi hiyo!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,478
24,348
Naomba kujuzwa hofu ni siri za mapato zitakuwa hadharani au ni nini?
Au labda huwa na ajenda za siri?
Inanishangaza sana hasa inapofikia hatua ya kupandikiza madiwani au kuongeza idadi ya watu ambao si madiwani WA eneo husika!
je katiba inasema hivyo hasa kuhusu uchaguzi wa MAYOR!
Mwenye kufahamu atujuze! although kila kitu kipo dhahri!
 
Last edited:
Ndugu,Halimashauri ya Kinondoni na ilala mapato yake ni zaidi ya Zanzibar na kisiwa cha comoro
Hawa jamaa walishapiga fedha nyingi za umma.Sasa wanahofu wengi watasukumwa segerea na Ccm itaumbuka
Hivi unajuwa wapo watu wanamiliki yumba zaidi ya masamaki na wanajiita vigogo wa Ccm?Sasa wanahofu wakiachia Halimashauri tutawajua wote.
Pili maendeleo yatakayoletwa na ukawa ni msumari kwa Ccm kuelekea uchaguzi 2020
Maana kwa miaka 5 ukawa wanaweza kuzibadilisha hizi Halimashauri zaidi ya ccm walioongoza toka uhuru.
 
Sasa kama rais magufuli na waziri mkuu majaliwa,wamejiapiza kuwa wataendesha nchi kwa kutokubaliana na matumizi mabovu popote pale kwa nini wasiliachie hili likajiendea kwa mujibu WA sheria!
""katika kujenga nchi hakuna cha upinzani wala ccm"" /
 
Back
Top Bottom