Figisu la Chikwete na Laigwanani lamponza Fred !.

Figisu la Chikwete na Laigwanani lamponza Fred !.

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,199
Reaction score
37,526
Heshima sana wanajamvi.

Mbunge wa Monduli Fred Elowassa kaliwa kichwa pamoja na kushinda kwa kishindo kura za maoni.

Ikimbukwe katika msiba wa Baba yske Fred Marehemu Ngoyai Mzee Chikwete hakupewa nafasi ya kutoa salamu.

Inasemekana jambo hilo lilimkera sana Rais Mstaafu kiasi cha kupandwa na hasira kali hadi mwili kutetemeka kama mgonjwa wa kifafa.

Mzee wa visasi akaapa kumtia adabu Fred na familia kwa ujumla ambayo iliweza kumpatia nafasi ya kutoa salamu mzee wa anga.

Mzee wa visasi ambaye kwasasa ni Rais nyuma ya Rais anayejulikana akatoa amri kuu CCM wabadili katiba ya kuwawezesha Viongozi wakuu kutengua maamuzi ya wananchi.

Ngongo kwasasa Monduli ndani ya kikao cha marafiki wa Fred tukijadili kwa kina kifuatacho.
 
Kikwete na Samia ni watu wa visasi sana. Yaani ukiwagusa lazima watafute namna ya kujibu mapigo haraka iwezekanavyo

Mama ndio zaidi na hana kifua cha kuhimili mikikimikiki na nyundo (matusi) za kwenye jukwaa za siasa
 
Nyie mlisema kikwete ni mtu wa mtandao na Edward Lowassa pia alikuwa ni mwanamtandao.vipi leo mnasema kikwete haipendi familia ya Lowassa
 
Hii inathibitisha kuwa remote control ya Nchi inamilikiwa na msoga
 
Kwahiyo na kwa makamba ana chuki gani? Maana mwezi wa kwanza naye chali hatua za mapema tuu
 
Kikwete ni mzigo kwa taifa

Hicho kikao cha Kamati Kuu kila mjumbe alikuwa na watu wake 3 muhimu na watatu wa kufyekwa vichwa.

Chikwete alikuwa na majina yake muhimu,piga ua jina la Rizhiwani na Mke wake lazima yawepo.

Jina la Fred Ngoyai litupwe mbali na siasa za CCM.

Mama wa Msoga majina ya Makonda,Mchengerwa na Ponjoro la Kinondoni hayakuwa na mjadala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom