Figisu figisu za mpira wa Africa zimefanya tuaibike kombe la dunia la vilabu

Matteo Vargas

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2019
Posts
1,054
Reaction score
1,615
Mpira wa Africa haupo stable na haupo serious. Licha wa Africa wengi kuwa na wendawazimu wa mpira labda uongozi wa mpira Africa ni kama Wana project yao tofauti na matarajio wa watu wengi.

Na kitu cha kushangaza zaidi asilimia kubwa ya timu za Africa zinazofanya vizuri kwenye AFCON huwezi kuona timu zao za ndani zikifanya vizuri kwenye michuano ya klabu bingwa Africa. Hapa mpira wa Africa ndio unaanza kutokuwa serious.

Africa tunawekeza zaidi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja usishangae sana Azam Ina uwanja na Ihefu ilikuwa na uwanja lakini Simba na Yanga combined hazina uwanja 😆👋

Turudi huko duniani, kule marekani hakuna hata timu ya Africa iliyoweza narudia tena "Iliyoweza" kutinga kwenye makundi ya michuano hiyo namaanisha hakuna timu hata moja. Unajiuliza
  • Al Ahly inakosa nini?
  • Masandawana (Mamelod) inakosa nini?
  • Wydad Inakosa kipi ambacho Botafogo wanacho?

Tunarudi pale pale huku kwetu tumewekeza zaidi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja.
Hivi unajiuliza..
1. Kwanini goli la Aziz dhidi ya Mamelod Sondowns lilikataliwa?

2. Kulikuwa na ulazima gani mechi ya Bernakane na Orlando Pirates mwaka juzi kupelekwa Nigeria kwa kisingizio cha uwanja wakati South Africa Ina miundo bora kabisa ya viwanja vya mpira?

3. Kulikuwa na ulazima gani wa kupeka mechi ya Simba dhidi Berkane uwanja wa Amaan Zanzibar kwa kisingizio cha hali ya hewa na wakati wataalamu walisha idhibitishia CAF kwamba siku hiyo hali ya hewa itakuwa shwari?

Ndio maana hata kocha wa Simba Fadlu Davis alisema 80% ya mambo yaliyofanya timu yake kushindwa kubeba taji lolote msimu huu kumesababishwa zaidi na mambo yalikuwa yanaendelea nje ya uwanja.

Mwisho wa siku ukiwa na akili timamu uangundua mpira wa Africa ni kama upo kwa ajili ya maslahi ya watu fulani. Hali inayopelekea kutopata timu za kweli zinazopaswa kushindana kwenye ngazi yeyote. Hali inayopelekea tumedhalilishwa huko duniani.

Bila vijapi halisi pesa ipo kutimiza wajibu tu.
 
Africans are serious but not straight
 
Huoni wachezaji wazuri wa mpira wanakimbilia ulaya?

Ndio maana virabu vinavyotamba ni hivyo hivyo unavyovijua duniani. Cha kishangaza ni kipi?
 
Ndio maana hata kocha wa Simba Fadlu Davis alisema 80% ya mambo yaliyofanya timu yake kushindwa kubeba taji lolote msimu huu kumesababishwa zaidi na mambo yalikuwa yanaendelea nje ya uwanja.
Una pointi lakini hapa umepuyanga. Simba ni mbovu na haina wachezaji bora. Hata huyo Fadlu mwenyewe kakiri hivyo. Mifano mingine toa tu lakini kuitumia Simba kukosa kombe hata moja kama mfano wa hoja yako siyo sahihi.

ndipo sasa linakuja swala la kujiuliza wewe kama shabiki unanguvu gani kwenye timu (unajingundua wewe ni mpiga kelele tuu) huna uwezo wa kushawishi/kufanya maamuzi.

sasa kwanini furaha yako ipangwe na wanaume wengine, unajiuliza kuna umuhimu wa kujiita/kuwa shabiki kindakindaki wa soka
 
We fikiria mpaka Mangungu analalamika. Sembuse we shabiki maandazi?

IMG-20250628-WA0007.jpg
 
Mpira wa Africa haupo stable na haupo serious. Licha wa Africa wengi kuwa na wendawazimu wa mpira labda uongozi wa mpira Africa ni kama Wana project yao tofauti na matarajio wa watu wengi.

Na kitu cha kushangaza zaidi asilimia kubwa ya timu za Africa zinazofanya vizuri kwenye AFCON huwezi kuona timu zao za ndani zikifanya vizuri kwenye michuano ya klabu bingwa Africa. Hapa mpira wa Africa ndio unaanza kutokuwa serious.

Africa tunawekeza zaidi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja usishangae sana Azam Ina uwanja na Ihefu ilikuwa na uwanja lakini Simba na Yanga combined hazina uwanja 😆👋

Turudi huko duniani, kule marekani hakuna hata timu ya Africa iliyoweza narudia tena "Iliyoweza" kutinga kwenye makundi ya michuano hiyo namaanisha hakuna timu hata moja. Unajiuliza
  • Al Ahly inakosa nini?
  • Masandawana (Mamelod) inakosa nini?
  • Wydad Inakosa kipi ambacho Botafogo wanacho?

Tunarudi pale pale huku kwetu tumewekeza zaidi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja.
Hivi unajiuliza..
1. Kwanini goli la Aziz dhidi ya Mamelod Sondowns lilikataliwa?

2. Kulikuwa na ulazima gani mechi ya Bernakane na Orlando Pirates mwaka juzi kupelekwa Nigeria kwa kisingizio cha uwanja wakati South Africa Ina miundo bora kabisa ya viwanja vya mpira?

3. Kulikuwa na ulazima gani wa kupeka mechi ya Simba dhidi Berkane uwanja wa Amaan Zanzibar kwa kisingizio cha hali ya hewa na wakati wataalamu walisha idhibitishia CAF kwamba siku hiyo hali ya hewa itakuwa shwari?

Ndio maana hata kocha wa Simba Fadlu Davis alisema 80% ya mambo yaliyofanya timu yake kushindwa kubeba taji lolote msimu huu kumesababishwa zaidi na mambo yalikuwa yanaendelea nje ya uwanja.

Mwisho wa siku ukiwa na akili timamu uangundua mpira wa Africa ni kama upo kwa ajili ya maslahi ya watu fulani. Hali inayopelekea kutopata timu za kweli zinazopaswa kushindana kwenye ngazi yeyote. Hali inayopelekea tumedhalilishwa huko duniani.

Bila vijapi halisi pesa ipo kutimiza wajibu tu.
Mpira wa Kiafrika ni mpira wa kisenge, hakuna mpira hapa Afrika.
 
Sababu pekee ni ubora wa wachezaji na uwekezaji
Japan wote wametolewa
Waarabu alienda mmoja na kabaki huyo huyo na uwekezaji wake si mdogo
Afrika vigisu ni Chache sio kama zinavyosemwa ila ubora ni mdogo sana
Msimu ambao berkane anamfunga Orlando caf walikuwa wanajaribu kuwa na fainali Moja jambo ambalo halikufanikiwa Wala haikuwa figisu
Simba uwanja ulikuwa hauko tayari asilimia 100 ndio maana mchezo ukahamishwa na kama ni figusu basi Simba ndie alitaka kufanya figisu maana kama una uhakika wa kushinda kwa Mkapa sababu team Yako ni Bora unashindwa vipi kushinda amaan stadium Zanzibar km Chache kabisa kutoka dar!?
Kama uligomea mechi ya kwanza kwa kukosa nafasi ya kufanya mazoezi ya mwisho mbona mechi ya pili hufanyi mazoezi uliyokusudia japo manager wa uwanja alibadilishwa kama Simba walivyotaka jibu ni "huwezi kuchukua ubingwa na team ambayo katika mechi tatu ilizokutana na Yanga msimu huu umekosa on target hata Moja na hujafunga goli hata Moja "WEKEZA
 
Mpira wa Africa haupo stable na haupo serious. Licha wa Africa wengi kuwa na wendawazimu wa mpira labda uongozi wa mpira Africa ni kama Wana project yao tofauti na matarajio wa watu wengi.

Na kitu cha kushangaza zaidi asilimia kubwa ya timu za Africa zinazofanya vizuri kwenye AFCON huwezi kuona timu zao za ndani zikifanya vizuri kwenye michuano ya klabu bingwa Africa. Hapa mpira wa Africa ndio unaanza kutokuwa serious.

Africa tunawekeza zaidi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja usishangae sana Azam Ina uwanja na Ihefu ilikuwa na uwanja lakini Simba na Yanga combined hazina uwanja 😆👋

Turudi huko duniani, kule marekani hakuna hata timu ya Africa iliyoweza narudia tena "Iliyoweza" kutinga kwenye makundi ya michuano hiyo namaanisha hakuna timu hata moja. Unajiuliza
  • Al Ahly inakosa nini?
  • Masandawana (Mamelod) inakosa nini?
  • Wydad Inakosa kipi ambacho Botafogo wanacho?

Tunarudi pale pale huku kwetu tumewekeza zaidi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja.
Hivi unajiuliza..
1. Kwanini goli la Aziz dhidi ya Mamelod Sondowns lilikataliwa?

2. Kulikuwa na ulazima gani mechi ya Bernakane na Orlando Pirates mwaka juzi kupelekwa Nigeria kwa kisingizio cha uwanja wakati South Africa Ina miundo bora kabisa ya viwanja vya mpira?

3. Kulikuwa na ulazima gani wa kupeka mechi ya Simba dhidi Berkane uwanja wa Amaan Zanzibar kwa kisingizio cha hali ya hewa na wakati wataalamu walisha idhibitishia CAF kwamba siku hiyo hali ya hewa itakuwa shwari?

Ndio maana hata kocha wa Simba Fadlu Davis alisema 80% ya mambo yaliyofanya timu yake kushindwa kubeba taji lolote msimu huu kumesababishwa zaidi na mambo yalikuwa yanaendelea nje ya uwanja.

Mwisho wa siku ukiwa na akili timamu uangundua mpira wa Africa ni kama upo kwa ajili ya maslahi ya watu fulani. Hali inayopelekea kutopata timu za kweli zinazopaswa kushindana kwenye ngazi yeyote. Hali inayopelekea tumedhalilishwa huko duniani.

Bila vijapi halisi pesa ipo kutimiza wajibu tu.
Upo sahihi, wachache watakuelewa
 
Nimefuatilia kumbe katiba ya Simba SC ni mbovu
1. Kazi ya mwenyekiti wa Simba SC ni kufungua na kufunga vikao
2. Mwenyekiti ni mjumbe wa bodi
3. Bodi kazi yake ni kushauri uwendeshaji wa club
4. Muwekezaji ndiye mwenye mamlaka ya kuunda, (management team)
5. Muwekezaji ndiye analeta pesa
6. Mwenyekiti huteuliwa na mkutano mkuu
7. Malengo ya SC ni kushinda makombe

Kwakifupi wanao mlaumu mwenyekiti wa Simba wana muonea kwasababu mwenyekiti wa Simba kulingana na katiba ya Simba yupo kama sanamu, (figure head')

Waandishi wa habari wanambananisha mwenyekiti wa Simba kwa maswali ambayo anakuwa hana majibu matokeo yake anakuwa kama anaigiza, (comedian)

Maoni
Kumbe mwenyekiti wakati anagombea aliahidi makombe haya ndiyo madhara ya viongozi wa kitaifa kuto tunza kauli zao, (tungo tata)

Public figures have to keep their words since any decision you make in life you will responsible for it
 
ndipo sasa linakuja swala la kujiuliza wewe kama shabiki unanguvu gani kwenye timu (unajingundua wewe ni mpiga kelele tuu) huna uwezo wa kushawishi/kufanya maamuzi.

sasa kwanini furaha yako ipangwe na wanaume wengine, unajiuliza kuna umuhimu wa kujiita/kuwa shabiki kindakindaki wa soka
😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom