FIFA yamuidhinisha Okwi kuichezea Young African

FIFA yamuidhinisha Okwi kuichezea Young African

jenereta

Senior Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
146
Reaction score
40
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limemuidhinisha mshambuliaji Mganda, Emmanuel Arnold Okwi kuchezea klabu ya Yanga ya Dar es Salaam.

Katibu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Celestine Mwesigwa amesema muda huu kwamba, FIFA imewaandikia barua ikiwaambia Okwi ni halali kuchezea Yanga SC.

"Suala la Okwi limekwisha, ila siwezi kuzungumza zaidi kwa sasa naingia kwenye kikao, tutatuma taarifa kwa vyombo vya habari baadaye,"alisema Mwesigwa.-
 
Sasa kwa nini umeiweka kama tetesi!?
 
Ngoja yule anaedai Pesa zake aibuke maana aliapa kama wakimruhusu anaacha uongozi wa mitaa ya Msimbazi ngoja tuone.....!!!
 
Yanga lazima watetee kikombe ambacho ni haki yao,Simba hamna lolote,mtagaragazwa kama matawala yalivyowagaragaza makomandoo wa angani kwenye zile kata 27!
 
Emmanuel anord okwi ameruhusiwa kuishezea yanga baada ya kusimamishwa kutokata na utata wa usajili wake source fifa na times fm
 
Last edited by a moderator:
ndio maana TUTU VENGERE na Hans Pope wamekuwa marafiki maana wameona dili linabumbulika tayari kuwa pesa washazipiga
 
Nimekumbuka lile tangazo hii ndo yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
 
Hiki ndicho kikosi cha kuwatoa waarabu koko wa misri.
1.Juma K Juma
2.Mbuyu Twite
3.Oscar Joshua
4.Nadri Cannavaro
5.Kelvin Yondani
6.Frank Domayo
7.Mrisho Ngassa
8.Haruna Niyonzima
9.Didier Kavumbagu
10.Emanuel Okwi
11.David Luhende

Benchi...........
 
Hiki ndicho kikosi cha kuwatoa waarabu koko wa misri.
1.Juma K Juma
2.Mbuyu Twite
3.Oscar Joshua
4.Nadri Cannavaro
5.Kelvin Yondani
6.Frank Domayo
7.Mrisho Ngassa
8.Haruna Niyonzima
9.Didier Kavumbagu
10.Emanuel Okwi
11.David Luhende

Benchi...........

1. Dida / Barthez
2. Juma Abdul
3. Oscar Joshua
4. Rajab Zahir
5. Reliants Lusajo
6. Athuman Idd Chuji
7. Simon Msuva
8. Hassan Dilunga
9. Jerson Tegete
10. Said Bahanunzi
11. Hamis Kiiza

Hapo bado sijamuweka Nizar na Hamis Thabit
 
Back
Top Bottom