FIFA yakubali pendekezo la Afrika kupeleka timu 9 Kombe la Dunia

Tano tu ambazo ni the creamest of African football huwa zinahenyeshwa na kina Serbia, hizo tisa zinaenda kucheza na nani kama sio kuaibishana??!!
 
So unapendekeza special Seat kwa afrika mashariko,
Wacha tupambane ili ukienda huko unakia competent,iwe west or north ni Afrika tu
Sio special seat lakini kuwe na namna fulani ya kupanga makundi kwa kuzingatia maeneo.
Huo ni Mpango mkakati kibiashara pia kukuza soka kwenye maeneo mengine.
Maana kama ni ubora basi FIFA wangekuwa wanakata katika ranking zao kutoka moja mpaka 32 ili kupata wanaoenda World Cup
 
Back
Top Bottom