FIFA yaja kuchunguza sakata la Malinzi uchaguzi hatihati

Ukimwita mtu mwizi bila ushahidi wa kimahakama nitakuuliza kama wamamuiba mama yako! Ukome kuwaita watu wezi bila ushihidi, kumbe inauma
Wale ni wezi wala usikatae, watakua sio wezi hadi hapo mahakama pia itakapothibitisha kuwa sio wezi. Kama kuna ndg yako na wewe usiumie.
 
Ivi ishu ya malinzi vp? Hayo makosa yao ni ya lini? Anyway nikae kimya maana sijui kitu, but let justice prevail! Ubaya wa FIFA wakishaona michezo michafu huwa wanamaamuzi yao yasio na afya kwa taifa!
Acha wajinga washangilie make FIFA wakiona siasa wanacho fanya ni kupiga pini tu.
 
Fifa watafanya uchunguzi wao na serikali itaendesha kesi kivyao. Lazima Fisadi Malinzi anyooshwe,kazoea kujichotea pesa za TFF kiulaini tu.
Unajua sheria za FIFA lakini? wale wana sheria zao sasa kama kuna siasa inafanyika hapo ndo mtawajua FIFA ni nani hasa.
 
Back
Top Bottom