FIFA yaja kuchunguza sakata la Malinzi uchaguzi hatihati

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
FIFA inaleta timu kuja kuchunguza sakata la Malinizi na wenzake..wakati hayo yakiendeelea kaimu mwenyekiti wa TFF Karia amesema kunani sintofahamu iliopo ni vyema tukashirikisha na wenzetu FIFA wameliona hilo..

Ni vizuri tufanye uchaguzi ambao kila mtu ana imani nao na maisha lazima yaendelee wenzetu wanakuja tunaitisha kamati ya utendaji soon kuangalia na mengineyo.
 
Screenshot_20170702-133136.png
Screenshot_20170702-133219.png
Screenshot_20170702-133228.png
 
Ivi ishu ya malinzi vp? Hayo makosa yao ni ya lini? Anyway nikae kimya maana sijui kitu, but let justice prevail! Ubaya wa FIFA wakishaona michezo michafu huwa wanamaamuzi yao yasio na afya kwa taifa!
 
OSOKONI Nitamtaja mpaka ukome kuwaita watu wezi. Hawa ni watuhumiwa, wewe unawaita wezi. Ujue humu kuna ndugu zao, watakujibu wanavyijisikia.
 
wezii wanahukumiea mahakamanii tusubiri..ila uchaguzi muhusahauukwa muda take note
 
Nitamtaja mpaka ukome kuwaita watu wezi. Hawa ni watuhumiwa, wewe unawaita wezi. Ujue humu kuna ndugu zao, watakujibu wanavyijisikia.
Malinzi ni mwizi tu, hata Kama Bado hukumu aijatolewa.unataka kumsafisha mwizi ili apate haki ya kugombea Urais Atuibie tena?
Kwa hapa Alipolifikisha Soka la Bongo inatosha wacha wengine waje .
Rais ninae mkubali ni TENGA tu
 
Malinzi ni mwizi tu, hata Kama Bado hukumu aijatolewa.unataka kumsafisha mwizi ili apate haki ya kugombea Urais Atuibie tena?
Kwa hapa Alipolifikisha Soka la Bongo inatosha wacha wengine waje .
Rais ninae mkubali ni TENGA tu
Amekuibia nini?
 
Amekuibia nini?
Ajaniibia mimi Bali Ameliibia SOKA LA BONGO kwenye uongozi wake Akuna kitu chochote cha maana alichofanya zaidi ya maneno mengi tu kama muimba taarabu.tunataka Soka letu lipige atua mbele lakini yeye amelirudisha nyuma. Malinzi ni Kiongozi kanjanja tu yupo kwa maslai yake Binafsi sio kwa taifa.
 
Huyo mtu atakayesababisha tufungiwe mpira yapaswa anyongwe kabisa. kama ni fisadi anafisadi mpira wa tz alafu anategemea fifa itamtetea ajue fifa wapo ulaya yeye bado ataendelea kuwepo hapa.

Moyo wangu haujawahi kumsaport malinzi tangu zile kampeni zake za rushwarushwa kipindi kile hadi leo, hakuna alichokifanya. Magufuli kanyagia hapohapo.
 
Malinzi ni jizi la pesa za umma lililokubuhu, nashangaa inachukua muda mrefu kuliadabisha limashavu hili.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom