FIFA yaja kuchunguza sakata la Malinzi uchaguzi hatihati

waje tu hapa kuna something wrong
Kabisa mkuu,serikali kwanini iingilie mambo ya soka? Kuna pesa ya serikali iliyoliwa? Timu za taifa serikali ilichangia kiasi gani? Mbona viwanja vyote wameikabidhi CCM na pesa wanachukua lkn viwanja viko hovyo? Hapa kuna chuki na ukabila dhidi ya Viongozi wa TFF.Ngoja FIFA iwapige pini akina Kolomije na Machatochato.
 
Malinzi ni mwizi tu, hata Kama Bado hukumu aijatolewa.unataka kumsafisha mwizi ili apate haki ya kugombea Urais Atuibie tena?
Kwa hapa Alipolifikisha Soka la Bongo inatosha wacha wengine waje .
Rais ninae mkubali ni TENGA tu
Soma katiba ya Tanzania ibara ya (13)(6).
 
Tunarud zama za FAT,hilo lilikuwa wazi kabisa, kwamba lazima FIFA waje,kwani hata uchaguz ulomuweka madarakani Jamall walikuja hapa kutokaba na sarakas nyiiingi
 
Waje kufanya nini wakati wezi tayari wapo Lupango? FIFA wakae mbali kabisa wasije kuleta balaa
TFF ni mali ya FIFA yaani kuja hakuepukiki,hata uchaguz ulopita walikuja kama unakumbuka mwenyekiti wa kamati alikuwa Mtinginjole
 
Fifa watafanya uchunguzi wao na serikali itaendesha kesi kivyao. Lazima Fisadi Malinzi anyooshwe,kazoea kujichotea pesa za TFF kiulaini tu.
 
Malinzi ni mwizi tu, hata Kama Bado hukumu aijatolewa.unataka kumsafisha mwizi ili apate haki ya kugombea Urais Atuibie tena?
Kwa hapa Alipolifikisha Soka la Bongo inatosha wacha wengine waje .
Rais ninae mkubali ni TENGA tu
Akiza kinywaji naja lipa
 
Ukimwita mtu mwizi bila ushahidi wa kimahakama nitakuuliza kama wamamuiba mama yako! Ukome kuwaita watu wezi bila ushihidi, kumbe inauma
Mtu lazima atuhumiwe kuwa ni mwizi kabla ya kumpeleka mahakamani kwa hiyo ni sawa tu kumwita mwizi.
 
Fifda inaleta timu kuja kuchunguza sakata la malinizi na wenzake..wakati hayo yakiendeelea kaimu mwenyekiti wa tff karia amesema kunan siitonfahamu iliopo n vyema tukashirikisha na wenzetu fifa wameliona hilo..

Ni vizuri tufanye uchaguzi ambao kila mtu ana imani nao na maisha lazima yaendelee wenzetu wanakuja tunaitisha kamati ya utendaji soon kuangalia na mengineyo
Wanakuja kuzuia uchaguzi ili Mtu wao Malinzi atoke mahabusu ashinde kwa bao la mkono
 
Ingekuwa miaka ile mmoja angesema tu "...hela iliyoliwa sio ya umma..."
Ila awamu hii hata ukila hela ya send off huponi.....
Nikikumbuka kauli za mkuu
"...sitaki kusikia TAKUKURU wameshindwa kesi..."
Huwa naona kabisa upepo haujamkalia vizuri jirani yangu Malinzi.
 
Ukimwita mtu mwizi bila ushahidi wa kimahakama nitakuuliza kama wamamuiba mama yako! Ukome kuwaita watu wezi bila ushihidi, kumbe inauma
Ile nafasi uliyotumia kumtaja mama yake ungemtaja yeye basi, hivi mbona mnadharau sana kwa akina mama ninyi?? Natamani nitukane ila si jadi yangu.
 
Kabisa mkuu,serikali kwanini iingilie mambo ya soka? Kuna pesa ya serikali iliyoliwa? Timu za taifa serikali ilichangia kiasi gani? Mbona viwanja vyote wameikabidhi CCM na pesa wanachukua lkn viwanja viko hovyo? Hapa kuna chuki na ukabila dhidi ya Viongozi wa TFF.Ngoja FIFA iwapige pini akina Kolomije na Machatochato.
Zile ni pesa za umma, viingilio mnavyotoa ninyi na kodi zenu zinasupport michezo... Na ukizungumzia Serikali hata mimi na wewe ni serikali, so kama kaiba pesa zilizotokana na michezo basi kaibia serikali.
 
pesa za viingilioo zimetok
Zile ni pesa za umma, viingilio mnavyotoa ninyi na kodi zenu zinasupport michezo... Na ukizungumzia Serikali hata mimi na wewe ni serikali, so kama kaiba pesa zilizotokana na michezo basi kaibia serikali.
ea FIFAUNA MATATIZO WEWW
 
Back
Top Bottom