Waje kufanya nini wakati wezi tayari wapo Lupango? FIFA wakae mbali kabisa wasije kuleta balaaAcha waje
Acha mahakama itoe maamuzi ndio utoe kauli hiyoWaje kufanya nini wakati wezi tayari wapo Lupango? FIFA wakae mbali kabisa wasije kuleta balaa
Yule ni mwizi Ndio maana yupo kekoNitamtaja mpaka ukome kuwaita watu wezi. Hawa ni watuhumiwa, wewe unawaita wezi. Ujue humu kuna ndugu zao, watakujibu wanavyijisikia.
Malinzi ni mwizi tu, hata Kama Bado hukumu aijatolewa.unataka kumsafisha mwizi ili apate haki ya kugombea Urais Atuibie tena?Nitamtaja mpaka ukome kuwaita watu wezi. Hawa ni watuhumiwa, wewe unawaita wezi. Ujue humu kuna ndugu zao, watakujibu wanavyijisikia.
Amekuibia nini?Malinzi ni mwizi tu, hata Kama Bado hukumu aijatolewa.unataka kumsafisha mwizi ili apate haki ya kugombea Urais Atuibie tena?
Kwa hapa Alipolifikisha Soka la Bongo inatosha wacha wengine waje .
Rais ninae mkubali ni TENGA tu
Ngumu sana kutetea kibakaUkimwita mtu mwizi bila ushahidi wa kimahakama nitakuuliza kama wamamuiba mama yako! Ukome kuwaita watu wezi bila ushihidi, kumbe inauma
Ajaniibia mimi Bali Ameliibia SOKA LA BONGO kwenye uongozi wake Akuna kitu chochote cha maana alichofanya zaidi ya maneno mengi tu kama muimba taarabu.tunataka Soka letu lipige atua mbele lakini yeye amelirudisha nyuma. Malinzi ni Kiongozi kanjanja tu yupo kwa maslai yake Binafsi sio kwa taifa.Amekuibia nini?
Muelimishe,mkuu.Mkuu unafika mbali.
Jenga hoja kiutaratibu tu. Mambo ya jazba yaache Mkuu. Tusubirie majibu ya Mahakama na FIFA watasemaje.