Fifa mobile: Game bora zaidi kuwahi kutokea duniani.

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
1,650
Reaction score
3,655
Hili game ni bora sana la mpira...kuna Technology ya AI
Ni very addict game ever...
 
Attachments

  • fifamobile-phone-features-chemistry.png.adapt.crop16x9.1455w.png
    fifamobile-phone-features-chemistry.png.adapt.crop16x9.1455w.png
    189.5 KB · Views: 52
Loh ungekuwa na PS Vita ama Switch lite ndo unge enjoy mpira on the go.

Port za PC version, tofauti na games za Android ambazo nyingi Ni pay to win, game hazina ushindani.
 
Hapana mkuu hili ni tofauti sana mkwawa.
Lina feautere inaitwa HEAD TO HEAD NI MULTI-PLAYING hapa ndo pagumu na jaribu kucheza mkuu utaprove.
 
Weka link mkuu tupakue na sisi
 
Loh ungekuwa na PS Vita ama Switch lite ndo unge enjoy mpira on the go.

Port za PC version, tofauti na games za Android ambazo nyingi Ni pay to win, game hazina ushindani.
chief mkwawa upo vizuri!! Watu wengi hawaelewi tofauti hapo. binasfsi mm ni pc gamer
 
kweli mkuu, games za Android sio mbaya kivile Ila tatizo Ni lengo la kutengeneza Hilo game ndio Baya. From scratch magame yake yanatengenezwa ili watu wanunue vitu ili Kushinda (In app purchase), hivyo unakuta kunawekwa vitu kibao visivyo na maana ili mradi tu utoe hela.

Games za PC Na console Ni tofauti Zina depth, na hauhitaji kununua chochote Kushinda.
 
Back
Top Bottom