FIFA kuwatosa akina Malinzi,Wambura

FIFA kuwatosa akina Malinzi,Wambura

..hahahahahaha ni kweli wamejipanga ila sio wote ni zile kamati tu..ila uchaguzi ungefanyika hata angegombea Nyamlani au yule jamaa wa kigoma angeshinda yule jamaa,Nyamlani hajiamini..chukua hiyoo

wanataka Nyamalani awe pale amlinde Tenga...na mpango wa wao kwanza ni kuileta timu ya Taifa ya Nigeria ambayo ni mabingwa wa Afrika ili kufidia deni la NMB..chukua hiyo nyingine
Noted mkuu na tusubiri tutaona.
 
..kutoka kwa mmoja wa wapambe wa mgombea wa kiti cha Urais bwn Nyamlani
..ni kwamba ujumbe wa FIFA uliokuja hapa na kuondoka leo..wamekubaliana na maamuzi ya kamati hivyo watampitisha Nyamlani..hii ni kutokana na "maovu" na "madudu" yaliyofanywa na Rais aliyemaliza muda Bwn Tenga

Chanzo hiko cha kuaminikia kinasema kwamba Rais wa sasa bwn Tenga hana imani na Malinzi...eti alisikia kuwa malinzi akifanikiwa kuwa Rais wa TFF..atafuatilia SUALA la UWANJA WA KARUME ambao inadaiwa uliwekwa "DHAMANA " kwa benki ya NMB ili TFF wapate mkopo wa kuigharamia timu ya Taifa ya Brazil ilipokuja Tanzania
chanzo hiko kinasema kwamba Mamelodi na mwenzake Primo corvaro wamekuja kutuliza tu mzuka wa serikali..ni mambo machache sana watayatolea ufafanuzi....

cc Jamal Malinzi
Companero
na wadau wengine..hii mnaionaje...?
No comment.......ngoja niendelee kuangalia mechi ya Azam vs FAR
 
Last edited by a moderator:
No comment.......ngoja niendelee kuangalia mechi ya Azam vs FAR

Ni uamuzi wa busara sana, muungwana hapaswi kujibu shutuma bali mashitaka, acha wasiohusika watoe maoni wewe utaonekana unajipigia debe tu.
 
hahahahahaha...TFF bana mbn mnasuasua kusema FIFA wamesemaje..?
 
Habari kutoka vyanzo vya uhakika ni kuwa FIFA ameamuru Jamal Malinzi agombee na uchaguzi uendelee kama kawaida. Kwa sasa Tenga anamalizia kupata ushauri na kamati yake ya utendaji lini uchaguzi uwe na mambo mengine kabla kuitisha mkutano na waandishi wa habari.

Hongera Malinzi naamini utashinda na kuiweka Tanzania katika ramani ya soka nakuaminia mkuu sina shaka na weledi wako na fitna za soka unazijua
 
Back
Top Bottom