FIFA imemdhalilisha Tenga ama Tenga amejidhalilisha mwenyewe?

FIFA imemdhalilisha Tenga ama Tenga amejidhalilisha mwenyewe?

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,011
Sakata la uchaguzi wa chama cha soka tanzania limeingia gambo baada ya chama cha soka dunian Fifa kuamuru uchaguzo kurudiwa upya na katiba kurekebisha;;katika hatua ya kushangaza mwenyekiti wa sasa wa tff mh tenga amenifurahisha sana wakati akielezea usgauri wa fifa;ikumbukwe ni tenga aliediriki kusema na vyombo vya habri akuna katiba iliovunjwa
 
Na kusema haki imetendeka na kamati yake ya kishenzi ya mgongolwa ndio yenye maamuzi ya mwisho mwenye kupiga kelele aende vyombo vya juu ;ntakuwa mchawi wa fadhila kutompongeza mh wambura na mh malinzi kwa kutfumbua macho ;mwisho najiuliza maamuzi haya ambayo serikali ilimwita bwana huyu tenga kwa hekima akajifanya anajua nakumshauri warekebshe akakataaaa je najiuliza punguani ni angekitile katibu wa tff ama waziri wetu alieamuru marekebisho na leo tff wanalamba matapishi yao;;PEngine hii iwe somo si kwa tff tu aijalishi unamjua blatter umesoma nbae unakulaga nae dinner unapochezea ama kucheza na Haki ya Mtu wanakugeuka anakuwa Mungu amesimama nao na kuwa aibu kwako tenga ;hii ni kwa vyama vyote vyenye kutegemea mashirikisho ya dunia
 
Hili walilipanga ili waendelee kuwa madarakani, nadhani wanailaumu FIFA kwa kuwaambia mpaka October uchaguzi uwe umefanyika. Sintashangaa kuona 'blunder' nyingine katika mchakato huu wa uchaguzi.
 
Hawa watu naona lengo lao lilikua ni kupachika utawala wa Kisultan hapo TFF ili kuficha maovu yao. Hawa walidiliki kusema kua Waziri amepotoshwa mbele ya vyombo vya Habari na kuionya Serikali iache kuingilia mambo ya TFF sivyo tatafungiwa, huu kwa kweli ni kukosa uzalendo na udikteta ulikithiri. Sasa hii imekua aibu yao wenyewe kwa maana Tenga alionekana kama ni kiongozi makini sana lakini sakata la TRA na hili la uchaguzi limemfanya aonekane boya au amezungukwa na genge la wahuni.
 
Watanzania wengi kwa sababu ya akili za kukariri,walijaribu kumsifu sana Tenga eti mtu wa mpira mara kaleta mafanikio kwenye uongozi!Uongozi si kama hesabu!eti mbili jumlisha mbili ni nne.No uongozi 2+2 should be greater than 4!Sasa viongozi wa fitna mimi nawadharau sana!Ndivyo nilivyomuona Tenga.Mnampa heshima ya bure tu!Anapenda sifa zisizo zake na katafuta sympathy kwa watu.Wasiofikiri sana watamsifu sana.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mshenzi mkubwa tenga awezi kusema ati watu wammempotosha waziri na ameaiagiza serikali ana laaana huyu anaweza kuishauri ama kuiagiza serikali nataka kumsikia yule pepo mchafu mgongolwa huyu ndie jini kubwa la hayamatatizo tenga na wenzake n kama mapepo wadogo
 
Back
Top Bottom