Duh!! Imekula kwangu.
Asante kwa taarifa. Itabidi nikeshe hapa hapa JF kusoma Updates mwanzo mwisho.
Mahali nilipo ni Startimes pekee ina-operate tena kwa shida ile mbaya!!

Natamani ningekuwa ninachambua mpira humu JF kama yule jamaa wa kitambo kidogo alikuwa akichambua kwenye Luninga, alikuwa anaitwa 'Dr.Riki Abdallah'. Yule jamaa alikuwa wa ukweli sana!!

Duh!! Huyo Cavani atakuwa ni mzigo na hasara kubwa sana kwa timu yake, yeye anajua kukosa tu na hajui kupata.
Enzi za Kanal Kipingu pale Makongo huyu jamaa angekuwa anapigwa fimbo mpaka basi.