Fifa 2017 inaweza play kwenye window 8?

Fifa 2017 inaweza play kwenye window 8?

Juru

Senior Member
Joined
Jul 25, 2016
Posts
136
Reaction score
38
Hello guyz kama heading inavyosomeka hapoo nmesumbuliwa sana na hii kitu sasa nmeamua kuwaomba msaada since PC yangu niliwekea setup ya FIFA 17 bx kila nnapo taka Ku install inaniandikia my computer missing activationdll so mwenye uzoefu na hii kitu naomba msaada plz coz nmejalibu hata Ku I download hyoo activation dill lakini imezinguaa piaa
Asanteni sana[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello guyz kama heading inavyosomeka hapoo nmesumbiriwa sana na hii kitu sasa nmeamua kuwaomba msaada since PC yangu niliwekea setup ya FIFA 17 bx kila nnapo taka Ku install inaniandikia my computer missing activationdll so mwenye uzoefu na hii kitu naomba msaada plz coz nmejalibu hata Ku I download hyoo activation dill lakini imezinguaa piaa
Asanteni sana[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
haha hapo fanya mpango utafute
- origin thin
 
hio error imekaa kama una game ambalo ni unlocked lakini hujalicrack au halina crack.
 
Duuuh sawa mkuu but crack ndo nn asee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umedownload hakikish unasoma maelezo ya game na uelewe. Unaweza kujikuta unapata tabu kumbe maelezo yote jinsi ya kuinistall walitoa .

Halafu kama pia uli extract file la game soma maelezo ambayo yamo ndani yenye format ya notepad. Yanaweza kukusaidia.
 
crack ni software iliochakachuliwa, kwa case yako hapo inakusaidia kucheza game bure bila kulipia (activation)
mkuuu kuna pc zipo e-bay na bei zake zipo poa xanaa,ila nina mashaka kununua coz now dayz matepel kila konaa! naomba ushauri wako ni njia gan salama ya kueza kununua mzigo e-bay, mwenye mawazo naomba anisaidie hivi vitu bado wengine wageni kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuuu kuna pc zipo e-bay na bei zake zipo poa xanaa,ila nina mashaka kununua coz now dayz matepel kila konaa! naomba ushauri wako ni njia gan salama ya kueza kununua mzigo e-bay, mwenye mawazo naomba anisaidie hivi vitu bado wengine wageni kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hizi desktop na laptop nzito hazina maana kununua huko ebay maana gharama ya kuileta huku ni kubwa sana,

umehakikisha hapa Tanzania hamna? maana kwa pc ukitafuta sana gharama ni sawa.
 
mkuu hizi desktop na laptop nzito hazina maana kununua huko ebay maana gharama ya kuileta huku ni kubwa sana,

umehakikisha hapa Tanzania hamna? maana kwa pc ukitafuta sana gharama ni sawa.
kwa hapa tz laptop hizi nimejarb kuzitaft lakin hakuna iliyo chini ya 1.m used,e-bay kuna moja nimeona inafika 400usd

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom