FIFA 17 PC ::Steampunk wamefanya yao.

Ila ni zuri au? maana nami nimechza fifa ila pes sijawai kucheza ndio kwanza nali download
Kama nilivosema awali, ni chaguo tu unaweza ukacheza ukalipenda zaidi ya Fifa.
 
Ila ni zuri au? maana nami nimechza fifa ila pes sijawai kucheza ndio kwanza nali download
Ila wengi wanacheza PES kwa sababu FIFA huwa ni very demanding kwenye upande wa uwezo wa mashine na graphics tofauti na PES.
 
Pc master race nawaonaa,kuna mwenye custom gaming pc humu?
 
Ukiona pc zinazingua basi hamia kwa xbox360,ps3 utafurahua fifa17 cracked
 
Mwenye ram ya 6gb vp
Cpu ni core i5

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo pekee haviwezi toa jibu moja kwa moja kwa game za kisasa hivi vitu vitatu ni muhimu kujua specs zake ili kujua kama unaweza meet minimum or recommended requirements (Processor + Graphics + Ram)
 
kwa wale wenye pc zenye specs ndogo,

fungua file la configuration kila kitu eka low,

kisha nenda my documents, tafuta fifa 17 then utaona kuna file linaishiwa na .ini lifungue na notepad badili resolution iwe kama 800x480, utacheza smooth tu na graphics sio mbaya sana.

pc kuanzia 2nd gen cpu zake zina nguvu kucheza hili game.
 
......updates........
download links added
FIFA 18 + UPDATE 2 |Fitgirl repack|
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…