Fifa 13 &pes 2013

Fifa 13 &pes 2013

M.E.M.A

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
1,373
Reaction score
472
Wakuu salaam. Naomba mwenye hizo games anipatie tafadhali.
 
Kwa nini unataka hizo za 13 wakati 14,zishatoka na fifa april wanatoa world cup version,huoni kama unaidhulumu nafsi yako by the way jaribu kusearch topic za nyuma kuhusiana na hizo ga,e kuna wadau wengi sana wapo willing kusaidia so pekua pekua utampata wa kukusaidia
 
Mkuu nina PES14 ila pc yangu haijameet requirements. Inachezeka lakini kwa kusua sua..kwa hiyo inanipotezea timing.
 
tafuta fifa 14 basi mkuu kwanza ndo ya ukweli zaidi achana na hivyo vikatuni vya pes.
 
Na yenyewe haihitaji specs kubwa sana? VRAM yangu nimeiongeza kwenye bios ikafikia 128 tu. Japo ram ni 2GB
 
Kama PES 2014 imekataa kwako basi hata FIFA 14 sahau kukubali kwako. Mimi ninazo hizo Game zote.
 
Inachezeka lakini sio kwa flow ile yenyewe. Ndio maana nahitaji 2013..
 
kusema kweli hii ya 2013 Sijui nimeitupilia wapi, ngoja kuna mtu nikamuulizie, nikimpata nitakujurisha.
 
Hakuna matata mkuu. Nimeipata ya 14 ila kwa mazoea ya pes hii fifa kama inanishinda vile. Labda nipate game pad.
 
Fifa ni Game moja tamu sana ya mpira kuliko hiyo PES.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom