Fiesta special-nani aliyetia fora?

6740d1258959474-fiesta-special-nani-aliyetia-fora-anatajka.bmp

ha ha ha Nasikia Serengeti zilifanya mambo!! Bei ilikua ni Buku kwa chupa!! Lol!! kwa kweli raha jipe mwenyewe
 
walidokezwa kwamba viwanda vya pombe vitafungwa baada ya hii fiesta?....mhhh kazi ipo.
 
Salaam Aleykhum waungwana!

Nimesikitika sana, hizi picha zina dhalilisha wakaka! Mwanzishaji wa hii tungo kuwa fair kwa kutoweka picha za wadada pia nina amini walikuwepo.

Nawakilisha

Masa in Pemba
 
Salaam Aleykhum waungwana!

Nimesikitika sana, hizi picha zina dhalilisha wakaka! Mwanzishaji wa hii tungo kuwa fair kwa kuweka picha za wadada pia nina amini walikuwepo.

Nawakilisha

Masa in Pemba

Ha ha ha ha, picha number 3 kwenye thread kuna wadada angalia vizuri. Nilipigwa mkwara sana nilivyoweka za kitchen part siku ile sirudii tena kuna 1 ni mkali sana.
 
Ha ha ha ha, picha number 3 kwenye thread kuna wadada angalia vizuri. Nilipigwa mkwara sana nilivyoweka za kitchen part siku ile sirudii tena kuna 1 ni mkali sana.

wale wadada ni she-males weka the real she mkubwa!
 
walidokezwa kwamba viwanda vya pombe vitafungwa baada ya hii fiesta?....mhhh kazi ipo.

Hapana ila walidokezwa mnyama chui isingekuwa rahisi kumuona kwa buku tu sehemu nyingine labda utembelee ofisaz mesi za geshi ra urinzi lakini na hapo unarewa tu ila kerere ukapigie mbali.
 
Ilikuwa raha tupu siunaona kanga tumetandika chini namwimbia mama mashairi mazuri unamjua mama mwenyewe ni nani? BHT usimwambie mtu lakini.

mweeeeeeeeee nguli ndo nini sasa....we naona hujanisoma nitakuacha sasa hivi hapa hapa tulipokutana!!!!
 
mweeeeeeeeee nguli ndo nini sasa....we naona hujanisoma nitakuacha sasa hivi hapa hapa tulipokutana!!!!

Punguza jaza mama,

BHT listen baby.....

True friendship is a gift
Oh so precious and so rare
Sometimes we take it for granted
Sometimes we do despair

Our fault is being human
Mistakes are everywhere
Please let me not lose the gift
That is so precious and so rare.
 
HAhahahaha huyu ndo Xpin mwenyewe dah naona Serengeti zilimchosha

baada ya kazi za nyumbani sikunzima, Xpin ndo ukaenda kujidunga as if baada ya fiesta no more ngano!!!!!!!!!!!!!
 
Punguza jaza mama,

BHT listen baby.....

True friendship is a gift
Oh so precious and so rare
Sometimes we take it for granted
Sometimes we do despair

Our fault is being human
Mistakes are everywhere
Please let me not lose the gift
That is so precious and so rare.

Nguli...

I believe that no matter how good a friend is, he/she is going to hurt you every once in a while and you must forgive....

I believe that I dont have to change friends if I understand friends change
 
Salaam Aleykhum waungwana!

Nimesikitika sana, hizi picha zina dhalilisha wakaka! Mwanzishaji wa hii tungo kuwa fair kwa kutoweka picha za wadada pia nina amini walikuwepo.

Nawakilisha

Masa in Pemba

Kwani hapo Masa ndiyo yupi? ni kama huyu mwenye shati ya draft ya pink? au namfananisha mie.
 
Back
Top Bottom