pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 693
- 889
Leo wanaendelea kuperform wale ambao hawakufanikiwa jana. Mh! Ila jua kali,ndio maana wanafanya free. Wanaanza saa tisa jioni.
Hatuna mda mchafu
Hivi huyo mtuu wa kumsimamisha saa tisa ni nanii mnatuona wajinga kiivyoo, mliniaribia tym yang najilaum, eatv hebu fanyen kwel bhanaaa nasubir kwa kiu kubwa ya burdani
Nadhani walioenda jana ni wauza maji,sigara na karanga wale wa mtaani.