ngoja na mimi niongezee....jamani mliokuwa mnafuatilia Fiesta ........Ludacris alipanda jukwaani?.....mbona kama kuna ukakasi hapa kwenye hili swala la Luda
Kweli Clouds ni homa ya jiji! Kumbe watu walikuwa wanablog humu sambamba na show ilivyokuwa inaendelea. Ahahahaaaaa hahahaaaaa daaaah! salaaleeeeh kudadadadeki.