Sugu ni kiazi....,mpaka leo bado hajatambua kuwa amepelekwa bungeni na wananchi wa Mbeya na sio wasanii wenzake..., hili ni jimbo ambalo CDM italipoteza 2015 kwa upumbavu tu wa Sugu...
Kabla hajatekelea ahadi yake ya kulipiga mnada wa hadhara gari la Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kabla hajatimiza wazo lake la kuuuza Mgodi wa Kiwira na fedha zitakazopatikana kuwagawia masela wanywee pombe, kesho na keshokutwa sintashangaa atakapotangaza kuudondosha mnara wa kurushia matangazo ya Clouds FM mjini Mbeya, huyu mtu ni janga...!!
Sugu kaandika hivi kwenye wall yake ya facebook:
''‎...Mbeya hatuhitaji upuuzi unaoitwa FIESTA,kwahiyo isije na naapa...uamuzi huu ni sehemu ya mapambano yetu dhidi ya maadui hawa wa maendeleo ya sanaa,and we are very serious on this one!!!''
who is we?
hopefull wewe magamba au mfanyakaz wa clouds mnaojifagilia kwa rais kama ni rais wa clous peke yenu na sio wawa TzSugu ni kiazi....,mpaka leo bado hajatambua kuwa amepelekwa bungeni na wananchi wa Mbeya na sio wasanii wenzake..., hili ni jimbo ambalo CDM italipoteza 2015 kwa upumbavu tu wa Sugu...Kabla hajatekelea ahadi yake ya kulipiga mnada wa hadhara gari la Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kabla hajatimiza wazo lake la kuuuza Mgodi wa Kiwira na fedha zitakazopatikana kuwagawia masela wanywee pombe, kesho na keshokutwa sintashangaa atakapotangaza kuudondosha mnara wa kurushia matangazo ya Clouds FM mjini Mbeya, huyu mtu ni janga...!!
vp wanawalipa vizuri siku hizi? Watanzania tutaanza kuendelea kama tutaacha kuabudu fedha na kufanya ya msingi kwa maendeleo!ni mwendelezo wa beef lililoanza siku nyingi kabla ya sugu kuwa mb....clouds walipiga marafuku kupiga nyimbo za sugu baada ya kuwa na msimamno juu ya utukishwaji wa wasanii katika matamasha kama hayo amabyo wasanii walikuwa wanalipwa kiduchu.kwa mtazamo wangu, sugu amerudisha kisasi kwa kutumia rungu alilo nalo kitu ambacho si kizuri kama mtawala othewise anaonesha weakness katika upeo wake wa kiutawala.
Ni mwendelezo wa Beef lililoanza siku nyingi kabla ya sugu kuwa MB....
Clouds walipiga marafuku kupiga nyimbo za Sugu baada ya kuwa na msimamno juu ya utukishwaji wa wasanii katika matamasha kama hayo amabyo wasanii walikuwa wanalipwa kiduchu.
Kwa mtazamo wangu, Sugu amerudisha kisasi kwa kutumia rungu alilo nalo kitu ambacho si kizuri kama mtawala othewise anaonesha weakness katika upeo wake wa kiutawala.
mmm mbunge yule . Ana haki ya kusemea lolote jimboni kwakemhh chuki binafsi hana lolote
Kwa hiyo hata kama akitaka Mbeya wafe.........basi wafe tu ...kwa vile kasema SUGU ...... mbunge.............!! ANA HAKI YA KUSEMA LOLOTE LENYE TIJA................. kwa mtazamo huu anajimaliza mwenyewe................mmm mbunge yule . Ana haki ya kusemea lolote jimboni kwake