fiesta live arusha now

preta acha woga kijana

m m......hapana aisee......naujua mji wa Arusha kwenye matukio kama hayo.....Ngalelo, Ngarenaro na Mianzini ni karibu sana na hapo tamasha linapofanyikia.......wenyeji wake wanatembea kwa miguu kufika hapo....hawahitaji usafiri
 
preta unafanya nini tena huko usiku wote huu.. Nenda nyumbani kabla hujarudi mkavu.
 
Alaf hawa wasanii wakbongo wana2ibia wanafanya maplayback,hawakidhi soko la kmataifa hawa ovyoo kabsa,naona Jaguar anawafundsha maana ya liveshow
 
preta unafanya nini tena huko usiku wote huu.. Nenda nyumbani kabla hujarudi mkavu.

Loner Loner.....nakudai....ile ahadi ya kufuata mwanga iliishia wapi?.....na siku hizi umepotelea wapi?....mbona Fiesta sijakuona?.....mbona mbona.....aah....jibu kwanza hizo ndio niendelee na maswali
 
na wewe kwa kupenda kudai

utafikiri mpare aisee
 
Loner Loner.....nakudai....ile ahadi ya kufuata mwanga iliishia wapi?.....na siku hizi umepotelea wapi?....mbona Fiesta sijakuona?.....mbona mbona.....aah....jibu kwanza hizo ndio niendelee na maswali
mimi huwa siendi fiesta wajanja wengi. Kufuata mwanga ni wewe tu hujanitafuta. Kupotea ni kwasababu ya majukumu. Vipi fiesta inaendaje?
 
Huko sijaenda bana......majukumu yamebana pabaya......wacha tumalize hii hali ya hewa ya mji huu then kufuata mwanga iendelee kama kawaida
 
Duuuh Mdau Figganigga... Lazima unatumia Ungo...jana c ulikuwa Mwembe-Yanga??? LOL!!!
hahahaaa..!! tusker usiniulize kuhusu vigoli.kwenye mkusanyiko ndiko mimi nlipo.usiniige mimi,hukawii kuuza nyumba usipokuwa makini.wengine wanachunwa mimi wananigea bule.kunywa kili bariidi siyo lazima kuomba ruksa.mia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom