sijamsikia kwenye list labda badayekalapina yupo?
kalapina si rahisi aje Arusha si unajua alikuwa na beef na nako 2 nako hawezi tia maguu, mbaya zaidi yule member wa n2n waliyempiga abuu nako sasa ndio mkula wa junior nako hao manyoka berlo lao usipime hawaogopi kitu na wamejikita kwenye vurugu zaidi kuliko usanii waulize watoto wa mama na walevi wa shiverz wanawajua vizuri saanakalapina yupo?
nipo jukwaa kuu karibu na nibanda cha matangazo kina rangi nyeupe nitafute kwa 07878136625upo wapi mbona sikuoni......?
mkuu utaibiwa mbona unajirahisisha namna hiyo..nipo jukwaa kuu karibu na nibanda cha matangazo kina rangi nyeupe nitafute kwa 07878136625
hawawezi me mjanja wa atown banamkuu utaibiwa mbona unajirahisisha namna hiyo..
wewe huwajui kikosi cha mizinga.hao n2n wanajuwa walichofanyiwa pale namanga.miakalapina si rahisi aje Arusha si unajua alikuwa na beef na nako 2 nako hawezi tia maguu, mbaya zaidi yule member wa n2n waliyempiga abuu nako sasa ndio mkula wa junior nako hao manyoka berlo lao usipime hawaogopi kitu na wamejikita kwenye vurugu zaidi kuliko usanii waulize watoto wa mama na walevi wa shiverz wanawajua vizuri saana
njoo tupo kibao hapa kwenye kibanda cheupe.tupo kikazi zaidi.miaupo wapi mbona sikuoni......?
haya bana haina majotro kama ndo hivyo sitarajii kuona uzi mara nimetendwa na mwanajf..kama vipi frengwa na sign out..hawawezi me mjanja wa atown bana
Aisee watu ni wengi hakuingiliki tena!